JideJaydee
na Mr Blue wakiimba "Wangu" katika Tamasha la Kili Music Tour
lililofanyika Usiku wa Kuamkia leo Katika Viwanja Vya Leaders.
Si mwingine ni Roma Mkatoliki
akiendeleza makamuzi katika Kili Music Tour Usiku wa Kuamkia leo katika
Viwanja Vya Leaders ambapo Kili Music Tour ndio imehitimishwa jijini Dar
Usiku wa Kuamkia leo
Recho katika jukwaa la Kili Music
Tour Usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja vya leaders akitoa burudani kwa
wakazi wa Jiji la Dar na Vitongoji Vyake wakati wa Tamasha hilo
lililofanyika katika Viwanja Vya leaders usiku wa kuamkia leo.
Msanii Recho akikata mauno
kuonyesha uwezo wake katika Jukwaa la Kili Music Tour iliyofanyika usiku
wa Kuamkia leo katika Viwanja Vya leaders
Recho akiwa amebeba na mmoja wa
mashabiki wake aliyemuita jukwaani kwaajili ya kucheza nae, Hapo
akionyesha uwezo wake wa kuzungusha nyonga
Zembwela
na Dullah wakiwa ma MC wa Kili Music Tour iliyofanyika Usiku wa Kuamkia
Leo Katika Viwanja vya Leaders wakijadiliana Jambo
Mwamba Wa Kaskazini, John Makini
akiporomosha song lake la Bei ya Mkaa kwa Mashabiki walifurika katika
Viwanja vya leaders usiku wa Kuamkia leo Katika Kili Music Tour
iliyofanyika katika Viwanja vya leaders.
Baadhi ya Wakazi wa Jiji la Dar es
Salaam pamoja na vitongoji vyake wakiwa makini Katika Kufuatilia Show
kutoka kwa Wasanii wa Kili Music Tour iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo
katika Viwanja vya leaders.
The True Boy Ney wa Mitego,
anajiita rais wa manzese akiporomosha song lake la Salamu zao Kwa
Mashabiki waliofurika Katika viwanja vya leaders usiku wa Kuamkia leo
katika Kili Music Tour.
Umati wa Wakazi wa Jiji la Dar waliofurika katika Viwanja vya Leaders usiku wa Kuamkia leo katika Show ya Kili Music Tour.
Diamond na Ney wa Mitego wakiimba Nyimbo ya Muziki gani katika Jukwaa la Kili Music Tour usiku wa Kuamkia leo
Prof Jay akiwa na lady jay Dee na
Nikki Mbishi wakitoa Burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar na vitongoji
vyake katika Kili Music Tour iliyofanyika katika Viwanja vya leaders
usiku wa kuamkia leo
Diamond na Ney wa Mitego wakitoa Burudani ya kufa mtu
Diamond platnum akiburudisha wakazi wa jiji
Mzee Yusuph nae alikuwepo
Dj Mafuvu kutoka East Africa Tv and Redio akiwapagawisha mashabiki
Usalama ulikuwepo kuhakikisha
wasumbufu wote wanathibitiwa kama ambavyo kijana huyu usiku wake
ulipoingia doa baada ya kukamatwa na wanausalama kwa kumpiga na chupa
mmoja wa wafanyakazi waliokuwepo katika kili Music Tour iliyofanyika
usiku wakuamkia leo katika Viwanja vya leaders.
KWA HABARI ZAIDI/FOR MORE NEWZ CLICK OLDER POSTS
KWA HABARI ZAIDI/FOR MORE NEWZ CLICK OLDER POSTS
No comments:
Post a Comment