Kanali Muammar Gaddafi
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gaddafi.
Mahakama imemtuhumu kwa uhalifu dhidi ya  binadamu na kuamuru mashambulio kwa raia baada ya machafuko dhidi yake  kuanza kati kati ya mwezi Februari.
Mahakama hiyo iliyopo the Hague pia imetoa hati  ya kukamatwa kwa washirika wake wakuu Kanali Gaddafi- mtoto wake wa  kiume Saif al-Islam na mkuu wa kijasusi Abdullah al-Sanussi.
Maelfu ya watu wanaaminiwa kufariki dunia kwenye ghasia hizo.
Hati hizo ziliombwa na mkuu wa mahakama hiyo ya  ICC Luis Moreno-Ocampo mwezi Mei, aliyesema watu hao watatu walihusika  na "mashambulio yaliyopangwa na yaliyosambaa" kwa raia.
Bw Moreno-Ocampo alisema mahakama hiyo ina  ushahidi kuwa Kanali Gaddafi "aliamuru binafsi mashambulio kwa raia wa  Libya wasio na silaha na alihusika kwa kukamatwa na kunyanyaswa kwa  wapinzani wake wa kisiasa.
Serikali ya Libya hivi karibuni ilisema haitambui mahakama hiyo na tishio la hati hiyo haiwashughulishi.
 MISS PWANI APATIKANA
Vodacom Miss Pwani Winifrida Gracian katikati  akiwa na mshindi wa pili Thuraiya Dabas(kushoto) na mshindi watatu  Mariaclara Mathayo kwenye shindano hilo lililofanyika jana katika ukumbi  wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.
 DENDA NJENJE..!1
VIJIMAMBO NJIANI
MISS MWANZA 2011 
 Vodacom  Miss Mwanza 2011 Irene Kalugaba akiwa a picha pamoja na =mshindi wa  pili Vodacom Miss Mwanza Frola Razaro (kulia)a Monica James mshindi wa  pili wa shindano la Vodacom Miss Mwanza lililofanyika kwenye hoteli mpya  na ya kisasa kabisa ya Gold Crest karibu kabisa na hoteli kongwe ya New  Mwanza Hoteli jijini Mwanza ambapo tayari shindano limekwisha na  washindi ndioyo hao.
Vodacom  Miss Mwanza 2011 Irene Kalugaba akiwa a picha pamoja na =mshindi wa  pili Vodacom Miss Mwanza Frola Razaro (kulia)a Monica James mshindi wa  pili wa shindano la Vodacom Miss Mwanza lililofanyika kwenye hoteli mpya  na ya kisasa kabisa ya Gold Crest karibu kabisa na hoteli kongwe ya New  Mwanza Hoteli jijini Mwanza ambapo tayari shindano limekwisha na  washindi ndioyo hao.  Mkurugenzi  wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa Bw Stephen Kingu akiwa katika picha  ya pamoja na wafayakazi wenzake, kulia ni Janet Kambeson msaidizi wa  Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Ziwa, Miriam Makalla Mwakilishi wa Mauzo  Vodacom Kanda ya Ziwa , Bernald Kombe Activation Coordinator Lake Zone .
Mkurugenzi  wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa Bw Stephen Kingu akiwa katika picha  ya pamoja na wafayakazi wenzake, kulia ni Janet Kambeson msaidizi wa  Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Ziwa, Miriam Makalla Mwakilishi wa Mauzo  Vodacom Kanda ya Ziwa , Bernald Kombe Activation Coordinator Lake Zone .   Hii  ndiyo tano bora ya Vodacom Miss Mwanza kutoka kulia ni Ester Laurent,  Monica James, Diana James, Irene Kalrgaba na Frola Razalo wakipozi kwa  picha.
Hii  ndiyo tano bora ya Vodacom Miss Mwanza kutoka kulia ni Ester Laurent,  Monica James, Diana James, Irene Kalrgaba na Frola Razalo wakipozi kwa  picha.  Majaji wa shindano hilo wakijadili jambo kabla ya kumtangza mshindi kutoka kushoto ni Cess Odemba Ben Mwangi,Cynthia Buhama
Majaji wa shindano hilo wakijadili jambo kabla ya kumtangza mshindi kutoka kushoto ni Cess Odemba Ben Mwangi,Cynthia Buhama  
 












No comments:
Post a Comment