Khadija kopa akirusha mashabiki jukwaani.
MISS TABATA 2011 HUYU HAPA
 Warembo wakionyesha shoo ya utambuulisho kwa kucheza dansi
Warembo wakionyesha shoo ya utambuulisho kwa kucheza dansi  Hii ndiyo tano bora ya Miss Tabata kutoka kulia ni Faidha Ally, Ritah Cathbert,Godliver Mashamba, Lilian Brayson na Agostina Mashanga.
Hii ndiyo tano bora ya Miss Tabata kutoka kulia ni Faidha Ally, Ritah Cathbert,Godliver Mashamba, Lilian Brayson na Agostina Mashanga.KIDEMU KINACHOFANA SANA NA JOKATE MWONGELO
POLISI WAZINGUA SHOW YA MAPACHA WATATU
 Wanamuziki wa Mapacha Watatu wakilishambulia jukwaa katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
 Polisi walipopanda jukwaani watu walijua wanapanda kumtunza Jose Mara lakini haikuwa hivyo.
WEEKEND DAR ZINA MAMBO..!!

Mmwaga radhi wa kitu T, akiwajibika.
 MnenguajI akifanya mambo ukumbini hapo.
 MnenguajI akifanya mambo ukumbini hapo.
WEEKEND DAR ZINA MAMBO..!!
Mmwaga radhi wa kitu T, akiwajibika.
CHRISTINA WILLIAM NDIYE MISS IRINGA 2011 
Christina William Ametwaa Taji La Vodacom Miss Iringa 2011 Katika Kinyang’anyiro Cha Ulimbwende Kilichofanyika Kwenye Ukumbi Wa Highland Manispaa ya Iringa huku Ritha Justine Nafasi Ya Pili Na Zay Mselemu Nafasi Ya Tatu, Happiness James Nafasi Ya Nne Na Ya Tano Ni Jackline Erick. Picha: Misanjo Livigha
 BINGWA wa dunia wa mita 100 na 200 Usain Bolt raia wa Jamaica, jana alirejea kazini baada ya kuwa nje kwa zaidi ya mwaka, lakini akatwaa medali ya dhahabu katika mita 200, zilizofanyika Oslo, Norway.
BINGWA wa dunia wa mita 100 na 200 Usain Bolt raia wa Jamaica, jana alirejea kazini baada ya kuwa nje kwa zaidi ya mwaka, lakini akatwaa medali ya dhahabu katika mita 200, zilizofanyika Oslo, Norway.Bolt mwenye miaka 24 ambaye alijiandikia rekodi kwa kutwaa medali tatu za Dhahabu katika michuano iliyopita ya Olimpiki, juzi alitumia sekunde 19.86 kumaliza mbio hizo.
Muda huo ni sekunde tano chini ya rekodi ya muda bora zaidi Duniani kwa mbio hizo aliyoiweka yeye mwenyewe na ile ya Frankie Fredericks, hata Bolt anasema akikaa sawa ataivunja rekodi hiyo.
Katika mbio za juzi Bolt aliongoza tangu mwanzo hadi mwisho akimuacha Jaysuma Saidy Ndure aliyeshika nafasi ya pili kwa sekunde 0.5, hata hivyo Bolt alielezea kufurahishwa na kasi aliyotumia kwa kuwa hajakimbia mita 200 tangu Mei mwaka jana aliposhiriki mbio za Shanghai, China.
“Kwa kuwa sijashiriki mbio kwa muda mrefu nadhani muda huu niliotumia sio mbaya, naona nimeanza vizuri, ila nijajifua zaidi naamini ninao uwezo wa kukimbia kwa kasi zaidi ya hivi,” alisema Bolt.
Bolt alisema anataka ashiriki mashindano matatu zaidi kabla ya kushiriki mbio za ubingwa wa Dunia zitakazofanyika Daegu, Korea Kusini, Agosti mwaka huu na kwamba kwa sasa atajifua sana chini ya Kocha weke Glen Mills.
 
 


No comments:
Post a Comment