Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Friday, September 7, 2012

MISS UTALII ILALA NA KINONDONI 2012 VIPAJI KUWASHA MOTO LEO USIKU

 
(Picha zote kwa hisani Magese Unique)
Jumla ya warembo 25 wanatajiwa kupnda jukwaani kwa awamu ya pili ya kumsaka mnyange mwenye kipaji cha kucheza ngoma za asili na kuonyesha utamadununi wa baadhi ya makabila ya hapa nyumbani Tanzania.
 Mtanange utafanyika leo usiku katika Hoteli ya Lamada iliyopo maeneo ya Ilala magorofani(msimbazi center) amapo wanyange hao kutoka wilaya za kinondoni na  Ilala wataonyesha vipaji vyao   ikiwa ni hatua ya kukimbilia fainali za shindano hilo.
  Kiingilio cha shindano hilo ni Tshs 10,000/= kwa Tshs 20,00 V.I.P  ikiambatana na burudani za ngoma za asili na ,bongo flava  na taarabu toka kundi la T_Moto watatumbuiza usiku wa leo

No comments: