Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, September 13, 2012

NAS & KELIS WARUDIANA KIMAPENZI


  Gwiji la hip-hop nchini  Marekani  Nas  usiku wa kuamkia jana alioneka wako beneti na mpenzi wake wa zamani  Kelis  ambae alitamba na kibao cha milkshake usiku huo walikuwa kama ndo kwaanza wamejuana  siku hiyo.
  Nas aiambia mitandao maarufu duniani  inayotoa habari za watu maarufu ukiwepo huu hapa kwamba ameamua kuweka tofauti zake kando na kuamua kuwa karibu na mama watoto wake ili kutoa fulsa kumpa mtoto wao  kupata malezi bora toka kwa wazazi hao.
  Knight ni mtoto wa Nas jana alionekaana mwenye furaha ambao aliambata na wazazi wake katika chakula cha usiku ,hii itatoa fulsa mpya kwa Knight kuwa na afya bora kwani atapata malezi bora toka pande zote mbili.

No comments: