Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, September 30, 2013

DIAMOND PLATNUM ALIWARUSHA WAKAZI WA JIJINI MWAZA

 Mzee wa Ngololo Ngololo,a.k.a Diamond Platnum akiimba sambamba na mwanamuziki wa bendi ya Sky Light usiku wa jana ndani ya hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
 Diamond kimapozi zaidi ya kimuziki kwa mashabiki wake.
Diamond akicheza na mashabiki wake mtindo wake mpya wa ngoloo ngoloo. 
 Diamond akiimba huku Mkurugenzi wa Skylight Entertaiment,Sebastian Ndege akionekana kufuria muziki muzuri.
 Baadhi ya Mashabiki wakiburudishwa na mwanamuziki nyota anayetamba kwa sasa kwenye anga ya muziki wa bongofleva,Diamond ndani ya hotel ya Gold Crest usiku wa kuamkia leo jijini Mwanz

No comments: