Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, September 23, 2013

DIVA APIGWA KIBUTI NA PREZOO

 
  Diva & prezzoo
Kwa mara ya kwanza, Diva ameamua kufunguka kuhusu KIBUTI alichopewa na jamaa yake wa Kenya maarufu kwa Jina la Prezzo ambaye alikuwa amemwanika mitandaoni..
Bahati  Mbaya  hali  ya  mambo  haikuwa  nzuri...Prezzo  alifanya yake  na  kisha kumtenda  dada  wa  watu....
Akiwa  bado angali  na  machozi  ya  ROHONI, Diva  ameamua  kutoa  onyo  kali  kwa  mashabiki  wake  na  kuwataka   kutolitaja  tena  jina  la  Prezzo  kwa  kuwa  hahitaji  hata  kulisikia.
HUU  NI  UJUMBE  WAKE:

"Hey Guys Pliz Kwa Heshima Zote na taadhima naomba msiwe mna comment about Huddah Or Prezzo in My Page.
That Chapter is closed muda mrefu sana and matter of fact Dont need Drama. My Life seems to be Naturally .
I never have plans for where it’s going to take me. Huwa nafuta na kujisikia vibaya nikiona mnaendelea kucomment about Prezzo.
 
Well , The truth ni Kuwa My heart Belonged to another man and The Tattoo of his name katika Mkono wangu itakuwa removed yes …. working on that.

 I Respect him and he is such a good Person but pliz enough with his name on My Page….hope mmenielewa. love you all" Says Loveness Diva

No comments: