Wachezaji
wa timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars ‘ wakiwasili jana
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam wakitokea nchini Uganda kushiriki michuano ya Cecafa Challenge
iliyomalizika juzi. Kilimanjaro Stars inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro
Premium Lager. (Picha na Mpigapicha wetu).
Wachezaji
wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars ‘ wakiwa uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana mara
baada ya kuwasili wakitokea nchini Uganda kushiriki michuano ya Cecafa
Challenge iliyomalizika juzi. Kilimanjaro Stars inadhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager. (Picha na Mpigapicha wetu).

Kocha
Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro Stars’ Kim Poulsen
akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana
pamoja na timu wakitokea nchini Uganda kushiriki michuano ya Cecafa
Challenge iliyomalizika juzi. Kilimanjaro Stars inadhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager. (Picha na Mpigapicha wetu).
Wachezaji
wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars ‘ wakiwa uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana mara
baada ya kuwasili wakitokea nchini Uganda kushiriki michuano ya Cecafa
Challenge iliyomalizika juzi. Kilimanjaro Stars inadhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager.
No comments:
Post a Comment