Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, December 17, 2012

UOZO BONGO MOVIE...HIVI NDIVYO WANAVYOIFUNDISHA JAMII?


Ama kweli mwisho wa dunia umekaribia! Chipukizi wawili wa filamu za Kibongo, Tabasamu Mohamed na Neema Ibrahim, wamekutwa ‘laivu’ wakifanya mambo ya chumbani hadharani.
Awali wasanii hao walishuhudiwa wakiwa ‘klozi’ ambapo walikwenda ‘kupozi’ chini ya mti na kuanza ‘kudendeka’ kabla ya kuzama katika hatua mbaya zaidi ya kutomasana na kuvuana nguo bila kujali kuwa ilikuwa mchana tena hadharani.
Umaarufu unatafutwa kwa nguvu jijini Dar.

No comments: