MCHEZA KAMBUMBU KANIKI ADAKWA KWA DAWA ZA KULEVYA ETHIOPIA
SURA ya Tanzania inazidi kuchafuka
katika suala la usafirishaji wa madawa haramu ya kulevya baada ya
mshambuliaji wa zamani wa Simba JOSEPH KANIK kukamatwa na madawa ya
kulevya kwenye uwanja wa ndege.Mshambuliaji huyo aliyewahi kuichezea
Simba mwanzoni mwa miaka ya 2000, amekamatwa na madawa ya kulevya siku
tatu zilizopita kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis
Ababa, Ethiopia.
No comments:
Post a Comment