Producer kutoka Combination Sound anaefanya vizuri nchini, Man Walter
amepiga hatua kubwa katika maisha yake baada ya kufunga ndoa na mrembo
ambaye alidaiwa kumuimbia wimbo wa ‘Wife Material’. Man Walter na Matilda Jimmy wamekuwa mme na mke kisheria baada ya kufunga ndoa Jumamosi, September 21.
No comments:
Post a Comment