Wema Alipost ujumbe huu kwaajili yao
“Wat can I say…. Im super happy for you two…. Wenyewe mlianza kimasihara maskini…. Who would ve known dat itafika hii siku and now mmehalalishwa…. Wow….!! Proud of u toto and to you my beautiful Esma, I wish u nothing but happiness…. Nawapenda sana… and nawatakia kila lililo lenye khery… Mpendane na muheshimiane katika maisha yenu ya ndoa… Ndoa ni baraka na naomba mwenyezi mungu awafungulie kila kulipofungwa na awatie ujasiri…. muishi kwa amani na upendo hadi pale kifo kitakapowatenganisha…. dah hadi machozi yamenitoka.
No comments:
Post a Comment