Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, October 4, 2011

DIDDY ATAJWA NDIYE ALIMUUA TUPAC SHAKUR

Diddy
  Tangu Miaka 15 baada ya kifo cha West Coast rapper Tupac Shakur,Mpelelezi wa zamani wa LAPD,Greg Kading amemtaja Sean 'diddy' Combs kwenye kitabu chake cha Murder Rap,kuwa alihusika na alifadhili mauaji ya Rapper Tupac Shakur .
Kitabu cha mpelelezi huyo kimetoka mitaani leo Oct 4,2011 na amekusanya ushahidi wa kutosha toka kwenye kaseti na kumbukumbu toka kwa watu muhimu waliohojiwa kuhusiana na mauaji ya 2Pac Shakur na Biggie Smalls.

Kwa mujibu wa vielelezo alivyokusanya,ushahidi unambana Sean "Puffy" Combs Diddy kuhusiana na kifo cha Tupac Shakur na kua alitoa mkwanja wa dola milioni 1 kwa ajili ya utekelezaji wa mauaji hayoikiwa ni kulipa kisasi cha rafiki yake baada ya kutendwa na Tupac kwa faith Evance.




GISELE ARUDI KWENYE RUNWAY


e last night, someone notable was missing from the NFL sidelines: his supermodel wife Gisele Bundchen who was occupied pleasing a crowd of her own in Paris.



ili ni kundi linalojishughulisha na burudani ya ngoma za asili linafahamika kwa jina la Safari Theater Group, lenye makazi yake Bungoni Ilala jijini Dar es Salaam, linajumla ya wasichana watano ambao hucheza na kufanya sarakasi kama unavyoona hapo juu,tamasha la kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru lililofanyika katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni Dar kwa Udhamini wa kampuni ya bia ya TBL. 


UFUNGUWA KUMBUKUMBU YA MICHAEL JACKSON WAFANA

The Michael Jackson Cirque Du Soleil The IMMORTAL World Tour, opened last night in Montreal.
Thousands of fans, along with the Jackson family, came out for the premiere of the tribute to the late Michael Jackson.


JEFF HARD ATUMIKIA KIFUNGO KWA DAWA ZA KULEVYA
Jeff Hardy Mugshot
Former wrestling star Jeff Hardy has checked into a North Carolina jail to serve his 10-day sentence stemming from a drug arrest back in 2009 ... uniqueentertz has learned.

Hardy was arrested on Sept. 11, 2009 after cops say they found all sorts of drugs in his home -- including opium and cocaine.

Hardy struck a deal with prosecutors ... in which he agreed to plead guilty to two counts of possession of a controlled substance and one count of conspiracy to traffic in exchange for a 10 day jail sentence, 30 months of probation and a $100k fine.

34-year-old Hardy -- who took a brand new mug shot upon arrival to the jail -- was listed at 6'1" and 215 lbs.

Sources close to the wrestler tell us ... this weekend, Jeff was adamant that he wanted to get his jail stint over with ... so he decided to check in first thing Monday morning.

No comments: