Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, October 15, 2011

HAJI RAMADHANI NDIYE MSHINDI BSS ANYAKUA MILIONI 40

Mshindi wa shindano la Bongo Star Search Second Chance 2011, Haji Ramadhani (katikati), akipunga mkono kwa mashabiki zake mara baada ya kutangazwa mshindi kwenye kinyang'anyiro hicho (kushoto), ni Mratibu wa mashindano hayo Rita Paulsen 'Madame Rita' akiwa katika pozi mara baada ya kumtangaza mshindi huyo, kulia ni mwakilishi kutoka Tigo ambao walikuwa wadhamini wakuu wa shindano hilo.
Haji akiwa kwenye pozi na Madam Rita..

Shamla shamla baada ya ushindi.
.
Mnenguaji wa Twanga Sharapova akimkumbatia Haji mara baada ya kutangazwa mshindi

Mr Flavour akipagawisha jukwaani  asawoo..asawoo..

Waziri Salum alivyopangawisha.

Majaji wa shindano hilo Master Jay na Madam Rita wakifurahia jambo.
Bella Kombo akiwajibika.




It’s Miss Jackson, if you’re nasty…

Janet is giving us epic fierceness for Blackgama’s latest ads. If you’re a PETA supporter you may want to exit the post now. Blackglama is known for their superior quality and most sought after mink garments in the world.


Last time we saw Miranda Kerr, she was buck naked for Harper's Bazaar.
Doutzen Kroes
Miranda Kerr
Now it has been announced that the Victoria's Secret model and new mom will be traipsing down the catwalk in a $2.5 million bra, according to People magazine.
Adriana Lima
Chanel Iman
Furthermore, Miranda will also be wearing the bra in the brand’s Christmas Dreams & Fantasies catalog, CBS News reported.
 

DEO NJIKU AJIFUA KUMKABILI JONAS SEGU WIKI IJAYO

Kocha wa Mchezo wa ngumi, Boma Kilangi (kushoto) akimsimamia mazoezi bondia Deo Njiku wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa zidi ya Jonas Segu litakalofanyika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro wiki ijao.(picha 

RICK ROSS SUFFER  ANOTHER SEIZURE ON PRIVATE JET

1014_rick_ross_ex_1
  UNIQUEENTERTZ  has learned ... Rick Ross' private jet made an emergency landing in Birmingham, Alabama, 2 hours ago, en route to his concert in Memphis ... and we found out he suffered another seizure.
 It's the second time today where a plane in which the rapper was a passenger made an emergency landing.  We broke the story ... Rick suffered a seizure this morning on a Delta flight that returned to the Ft. Lauderdale airport.
 Rick went to the hospital, was released, and then took off at 5:07 PM ET from Ft. Lauderdale to make his concert  tonight in Memphis. But at 5:44 PM CDT, the plane was diverted and landed in Birmingham after Rick had a seizure on board.
 Rick is currently in a Birmingham hospital emergency room.  We do not know his condition.

No comments: