Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, October 13, 2011

MGOMO WA WANACHUO WAZUA KIZAZAA JIJINI MBEYA


 
WANACHUO 4500 wanaosoma katika chuo cha Teofilo Kisanji (TEKU) kinachomilikiwa na Kanisala la Moravian Tanzania kilichopo Jijini Mbeya wamendamana mpaka ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya kueleza  yanayowapata baada ya kukosa mikopo yao. Rais wa Serikali ya wanafunzi wa chuo hicho Ambukege Imani alisema kuwa wanachuo hao walifanya jitihada za kupata kibali juzi kupitia jeshi la polisi ambalo lilikataa kuwapatia kibali hicho na kwamba zaidi wanachuo hao wameshitushwa na taarifa iliyotoka bodi ya mikopo kuwa hawataweza kuwapa mikopo yao mpaka ifikapo mwezi Desemba 12 mwaka huu.


Moja ya bango liliandikwa ujumbe maalumu kwa kwa viongozi husika kama unavyosomeka pichani.


ANUSULIKA KUFA BAADA YA KUKAMATWA KAIBA BAISKELI

Ama kweli tamaa mbaya..kijana mkazi wa morogoro alipata kichapo baridi toka kwa raia wema baada ya kumfuma kaiba baiskeli.


WHITNEY HOUSTONE AACHA KUBUYA UNGA
1012_whitney_houston_tmz_EX
 Whitney Houston isn't on drugs anymore ... she's just crazy -- and yesterday she almost got kicked off a Delta Airlines flight ... because she refused to buckle her seatbelt.
 Multiple sources tell us ... Whitney boarded a flight in Atlanta Wednesday afternoon ... and when she settled into her seat, a crew member asked her to buckle up.
 We're told Whitney refused and "got diva" on the crew member ... until another crew member came over and warned Houston that if she didn't buckle up, she would have to get off the plane.

 Sources close to the singer tell us ... Whitney "overreacted a little bit after missing an earlier flight but she's still 100% sober and was on the way to Detroit for her first day of shooting a new movie."

No comments: