Ni
burudani toka kwa Sharo Millionaire na wenzake Bongo Komedi toka jijini
Dar wakitoa rubudani kwa stage CCM Kirumba Mwanza leo.Kikosi cha Komedi toka Mwanza katika flash ya pamoja kabla ya mchezo.
Kikosi
cha Bongo Komedi toka Dar es salaam katika flash ya pamoja kabla ya
mchezo ambapo kikisi hiki kilitoka kifua mbele kwa ushindi wa goli 4-3. "Mkuu
wa wilaya ya Ilemela Mh.Said Amanzi iliupate mikono ya wachezaji hawa
wa nyumbani kwako lazima utupie ngawira kwenye chungu....!!!" Mheshimiwa
aliambiwa na msanii huyu ambaye ndiye alikuwa mganga wa timu ya Bongo
Komedi na shahidi alikuwa kingwendu na wenziwe "Mheshimiwa umenishika
mimi baaaaassss!!! tushashinda...." Mganga wa Komedi Mwanza kushoto na shabiki... Mtanga alipata shavu sana toka kwa watoto naye bila hiyana....flash! Mshambuliaji Tale toka Bongo Komedi alikuwa mwiba kwa ngome ya Komedi Mwanza hapa ni kana anapiga vile .... anafinyaaa..... Mara goliiiii.... Sharo Millionaire ni moja kati ya wachezaji walokuwa wasumbufu kwenye mchezo huo na of coz alitupi lake moja... Nkabaaaa!!
Hili ndilo bao la Sharo Millionaire ambapo mengine yalifungwa na Tale
ambaye alifunga mawili na jamaa mwingine hivi..... Mashabiki na macho yao kwenye stage mara baada ya dakika 90 kumalizika. Man of the match Tale akiwapa wakazi wa Mwanza rubudani... Mfuniko wa maraha.
No comments:
Post a Comment