Mkali
wa Azonto na antena 'Nana Richard Abiona' aka Fuse ODG amewasili leo 6 Sept
majira ya saa tisa usiku katika uwanja wa ndege wa kimataifa Mwl.J.K
Nyerere.
Fuse ODG anatarajia kutoa burudani kali siku ya tarehe 7 Sept kesho katika viwanja vya Ustawi wa Jamii
No comments:
Post a Comment