Mwanamitindo na mwigizaji wa filamu za Kibongo Lisa Jensen amejifungua mtoto wa kike.
Lisa amepost picha ya mtoto wake kwenye mtandao wa instagram leo huku watu wengi wakimpongeza kwa kujifungua mtoto mzuri. ‘Mashallah
congrats much much...n God bless katoto… My my my! What a cute lil
lady. Congratulations dearie to you and hubby….Congratulations to you
guys!! What a precious baby.’
No comments:
Post a Comment