Mbunifu
wa mitindo nchini Asia Idarous akizungumza wakati wa uzinduzi wa
shindano jipya la wanamitindo linalojulikana kwa jina la Tanzania Top
Model uliofanyika kwenye mgahawa wa City Sports Lounge jijini Dar es
salaam jana na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa mitindo ya mavazi,
Kulia ni Jackson Kalikumtima Mkurugenzi wa Kamati ya Tanzania Top
Model, na kulia ni Bw. Khamsin.
Mkurugenzi wa
Kamati ya Tanzania TOP Model Jackson Kalikumtima akizungumza katika
uzinduzi huo uliofanyika jana kwenye mgahawa wa City Sports Lounge.
Wanamitindo mbalimbali wakipita mbele ya wageni waalikwa wakatik wa uzinduzi huo Wanamitindo hao wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo
Wadau wakipata picha Wadau mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo
MC Duble A akifafanua jambo kabla ya Asia Idarous kuzindua shindano hilo
Baadhi ya wanakamati wakijitambulisha Wadau wakifuatilia
Wadau wakifuatilia matukio katika uzinduzi huo.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA
No comments:
Post a Comment