Mtangazaji wa kipindi cha burudani cha Funika Base
kutoka Radio 5 ya Mjini Arusha , Julius Kamafa (kushoto) akifanya mahojiano na
Washiriki wa Shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 katika studio za redio hiyo
jana.
Baadhi ya warembo wakijieleza Live Redio 5 hii leo walipotebelea kituo hicho.
Meneja Biashara wa TAN MEDIA, Angela Maina akizungumza
na warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Kituo
cha Redio cha Radio 5 cha mjini Arusha leo kujionea shughuli mbalimbali na kufanya mahojiano maalum. Warembo wa Redd’s
Miss Tanzania wapo mkoani Arusha kwa ziara ya kimafunzo.
Baadhi ya wafanyakazi wa TAN MEDIA wakisikiliza kwa makini mkutano huo baina ya warembo na Viongozi wa TAN MEDIA.
Meneja Biashara wa TAN MEDIA, Angela Maina akizungumza
na warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Kituo
cha Redio cha Radio 5 cha mjini Arusha
jana kujionea shughuli mbalimbali na kufanya mahojiano maalum.
Warembo wakipiga picha za Pozi
Walimbwende na Viongozi wa TAN MEDIA na watangazaji wa Radio 5 walipiga picha ya kumbukumbu.
Warembo wakiondoka Radio 5
No comments:
Post a Comment