Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, November 5, 2011

WEMA SEPETU ADUNDWA KAMA MWIZI NA DIAMOND

    Diamond na Wema walikuwa wamepumzika mchana, ghafla jamaa alichukua simu ya Wema na kuanza kusoma sms, ndipo alipokutana na moja iliyoshiba mapenzi kutoka kwa mwanaume ikionesha kama wana uhusiano toka zamani,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:
“Diamond hakutaka kuhoji zaidi, kilichofuata ni kipigo ambacho Wema hawezi kukisahau.”
     purukushani kubwa ambapo Wema aligeuka bondia  kwa kupangua makonde ya Nasibu
Ilidaiwa kuwa staa huyo wa filamu hakufua dafu kwani Diamond alipeleka konde moja matata kama lile la Miyeyusho kwa Matumla hivyo kumwachia michoro ya makofi usoni huku akimsababishia mrembo huyo kutosikia vizuri hadi sasa.
   Baada ya kumuona paparazi wetu, Wema alihoji kulikoni ambapo alimwagiwa ‘upupu’ wote na kupewa nafasi ya kufunguka juu ya ishu hiyo.
  Kwanza alianza kwa kusita, lakini baadaye alifunguka: “Jamani mapenzi nyie acheni tu, ni kweli alinipa ‘mbata’, lakini hayo ni mambo ya kimapenzi tu kwa sababu mimi mwenyewe nasikia raha sana nikipigwa na mpenzi wangu.
  “Asikwambie mtu, bila kunipiga atakuwa hana wivu na mimi, lakini alivyonipiga amethibitisha anavyonipenda.
  ”Nampenda Diamond na nitampenda maisha yote, kama ni vipigo sijali acheni nitoke manundu.” .....ha ha ha utajuta kupenda wema..na bado.



BIEBER NA SELENA HAPATOSHI..!!

 Justin Bieber's life has been turned upside this past week with rumors that he fathered a child with 20-year-old Mariah Yeater.

DETAILS: Justin Bieber Slammed With Paternity Suit!

 Although Justin has denied the rumors and has taken to twitter to show that he's sticking to the positive, rumors have now come out that his boo of eight months, Selena Gomez is leaving him because of the scandal.

 Could this be true? Would Selena break up this picture perfect relationship and disappoint the millions of diehard fans that have been rooting for them?

Thankfully, the answer is no!

BONDIA FRANCISI MIYAYUSHO ANDELEA KUSHEREKEA UBINGWA KINONDONI

Bondia Fransic MIyayusho wa pili kulia akiwa katika picha ya pamoja na promota wake Mohamedi Bawaziri na kushoto ni Mdau wa michezo Wilaya ya KInondoni Prosper Mzee pamoja na kocha wake msaidizi kulia
Msanii Recho akiongea wakati wa sherehe ya kumpongeza bondia huyo mwenye masumbwi yakufa mtu.

Jamaica's Dancehall Vixen Toya Is the Face of Sensuality in Norway

toya_norway_jamaica_dancehall.jpgDownsound Records' sultry Dancehall diva Toya will add some Caribbean heat to Scandinavian households this fall, with a special appearance on Cruiseliv, a brand new travel series on TVNorge in Norway. Broadcast to 25 million Scandinavian homes on November 23rd, Toya will be featured on episode that focuses on the sensuality of young Jamaican women.
With her racy single "One Man Woman," featuring Dancehall king Beenie Man bubbling in the top ten on the local charts, and her latest club-banger "You A Life" in heavy radio rotation, the bold and sassy 23 year old was a natural choice for the Cruiseliv episode about sexuality and Jamaican women.
"I am a young, fresh face, and my style and the way I carry myself is naturally sexy," says LaToya 'Toya' Jackson. "Recently, I've been attracting international attention, filming in the United States, and now doing a television show for Norway about Jamaica and Jamaican women. It's very exciting."

Friday, November 4, 2011

FATMA MGANGA MREMBO MWENYE MAPOZI NA MARINGO

 
 
 
 She is pretty...sexy ..hot...wow!!
 Mrembo Fatma.A.Mganga ni mrembo mwenye haiba ya kibantu ana umri wa miaka 21 tu anasoma shahada "human resourcesmanagement".Hobi yake ni kucheza Vollyball ,muziki na kuangalia mchezo wa cricket,tambi na maini ndicho chakula akipendacho.
 Fatma ni mtoto wa kidigo aishie sinza na yupo ndani ya mahusiano na mtu wake special.Mrembo huyu mwenye maringo hapendi umbea na mambo yasiyo na msingi katika maisha.Rangi aipendayo ni nyeusi, nyeupe na udongo.
   Matarajio yake ya baadae ni kuwa mjasiliamali.


RICK ROSS ARUDI STEJINI KWA KISHINDO
The boss Rick Ross returned to the stage for the first time since his two seizures! Ricky Rozay turned up for Wale's album release concert in NYC.

BIRTHDAY YA MIRIAM AZIZI UCHAFU MTUPU


Mariam Azizi alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake ndani ya Pub ya Cabocabana iliyopo Kinondoni B jijini Dar es Salaam, ambapo ilihudhuliwa na ndugu na jamaa zake wa karibu, sherehe hiyo ilifana vilivyo kwani watu walikula na kupombeka kwa kwenda mbele.

Mariam Azizi alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake ndani ya Pub ya Cabocabana iliyopo Kinondoni B jijini Dar es Salaam, ambapo ilihudhuliwa na ndugu na jamaa zake wa karibu, sherehe hiyo ilifana vilivyo kwani watu walikula na kupombeka kwa kwenda mbele.

Huu ndiyo utandawazi tunaoutaka!?


wakiwa katika mapozi ya kawaida

Mariam Zizi(kulia), akimrishe keki kwa kinywa chake mdogo wake ambaye ni pia miss Kurasini namba mbili 2011, Naifat Ally katika sherekea siku yake ya kuzaliwa.


FLAVIAN MATATA MATAWI MENGINE
On October 20th, The Good Music Retreat & top models ItsRahmaM and FlavianaMatata, above, hosted a very special soiree to help raise funds for famine relief efforts in Somalia in the Chelsea section of NYC.


KIM KARDASHIAN AFUNGUKA KUHUSU TALAKA YAKE
Kim KardashianKardashian wrote an emotional email to her extended family members early Monday morning -- giving them a head's up that she was filing for divorce ... and apologizing for "jumping the gun."
UNIQUEENTERTZ  has learned ... Kim emailed several people on her father's side of the family in the hours before she filed the documents with the court ... saying, "I would rather you hear it from me than someone else or the news."
In the letter, Kim explains, "I know this seems crazy ... I've spent the last few months struggling with my marriage."
"Kris is a great guy but we come from such different worlds and he isn't what I thought when we 1st met."
"I'm embarrassed that I took everyone on this journey with me and had this huge wedding. But I have to be happy, so I have to let this relationship go. "
Kim's reps had no comment.


Miss World 2011 - Tanzania - Salha Israel KIFAI
PERSONAL INFORMATION
Name : Salha Israel KIFAI
Age : 18
Height : 1.68
Languages : Swahili & English
BIOGRAPHY
Salha is currently a student hoping to become a lawyer. Hobbies include: swimming, watching movies, dancing and visiting national animal parks. Salha describes herself as courageous and confident and her personal motto is ‘Think Big, Dream Big, Achieve Big.’
INTERVIEW
Tell us a little something about your Country ?
Tanzania is a country with the highest mountain in Africa, Mount Kilimanjaro. It has the beautiful island of Zanzibar and some of the biggest national parks.
Future ambitions ?
To become a lawyer.
Describe yourself
I am courageous and confident, ready to face any challenge.
Personal Motto?
Think big, dream big, achieve big.
Favourite food ?
My favourite food is Chinese pilau.
Favourite Music / Books ?
My favourite musical genres are R&B and pop.
Do you have any pets ?
I have two cats at home.
Special Talents ?
My talent is dance.
Any other interesting facts ?
I have visited Tanzania National Park many times. I like playing with small animals like baboons; I can even hold a python in my hands.


 KANYE WEST BADO ANAMPENDA AMBER ROSE

Kanye West still loves Amber Rose!
 In a recent performance in Philly, Kanye West freestyled over his hit song "Runaway" and referenced Amber Rose quite a few times. 

Thursday, November 3, 2011

JACKLINE ROBERT MLIMBWENDE MWENYE AZIMA YA KUMFIKIA FLAVIAN MATATA

 
 
 J
  Jackline Robert ni mlimbwende mwenye ndoto zakuwa mwanamitindo wa kimataifa ana umri wa miaka 20 anachukua diploma ya Human Resource Management pia anapenda kusikiliza muziki na kusoma vitabu.
  Kati ya vitu anavyopenda ni kubembelezwa na hapendelei majungu,chakula apendacho ni ndizi nyama pengine ni kwa sababu anatokea bukoba.
   Mwanamitindo chipukizi huyu mwenye asili ya kihaya  anasema yuko single bhanaa...na rangi aipendayo ni pinki na zambarau,makazi yake ni kijitonyama jijini Dar na matarajio yake ya baadae ni kuwa mwanamiyindo wa kimataifa.

Tuesday, November 1, 2011

LUCY MWITA MREMBO WA KIKULYA MWENYE KITU CHA ZIADA

          Lucy mwita.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
                 Karibu Tanzania kuna vivutio vingi pembezoni mwa bahari ya Hindi.
 
 
 
 
 
  Lucy Mwita ni mrembo mwenye miaka 23 ana elimu ya diploma ya utawala wa biashara anapendelea kuogelea na kusikiliza muziki,anapenda kusifiwa.
   Mrembo huyu wa kikulya ni mkazi wa g'mboto jijini Dar anapenda kula wali na samaki na yupo katika mahusiano na mpenzi wake.
   Rangi aipendayo ni Green apple na matarajio yake ya baadae nikuwa mfanyabiashara wa kimataifa 


NDOA YA KIM KARDASHIAN NA KRIS HUMHRIES VIPANDE VIPANDE!!

Kim Kardashian and Kris Humphries have confirmed they are headed towards divorce.

After living in not-so-wedded-bliss for 72 days, Kim filed for divorce this morning and has already confirmed that the rumors are true.



Miss Tanzania 2011, Salha Izrael Kifai akipita jukwaani na vazi la jioni wakti wa shindano maalum la kumtafuta Top Model wa Dunia ikiwa ni moja ya sehemu ya shinjdano la Miss World 2011. Pia Sahla alishinriki katika shindano lingine la Ufukweni hapo awali.