Lucy Mwita ni mrembo mwenye miaka 23 ana elimu ya diploma ya utawala wa biashara anapendelea kuogelea na kusikiliza muziki,anapenda kusifiwa.
   Mrembo huyu wa kikulya ni mkazi wa g'mboto jijini Dar anapenda kula wali na samaki na yupo katika mahusiano na mpenzi wake.
   Rangi aipendayo ni Green apple na matarajio yake ya baadae nikuwa mfanyabiashara wa kimataifa 
NDOA YA KIM KARDASHIAN NA KRIS HUMHRIES VIPANDE VIPANDE!!
Kim Kardashian and Kris Humphries have confirmed they are headed towards divorce.
After living in not-so-wedded-bliss for 72 days, Kim filed for 
divorce this morning and has already confirmed that the rumors are true.
Miss
 Tanzania 2011, Salha Izrael Kifai akipita jukwaani na vazi la jioni 
wakti wa shindano maalum la kumtafuta Top Model wa Dunia ikiwa ni moja 
ya sehemu ya shinjdano la Miss World 2011. Pia Sahla alishinriki katika 
shindano lingine la Ufukweni hapo awali.
 
 

No comments:
Post a Comment