Waziri
 wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof.  Anna Tibaijuka akiongea na mkazi wa 
Sinza Ndahani Yohana ambaye amenunua  eneo la wazi kwa utapeli kwa 
shilingi milioni 500 wiki mbili  zilizopita, ambapo ramani halisi 
inaonyesha eneo hilo ni la wazi.
Diwani
  wa Sinza Bw. Renatus Pamba akimuonyesha Waziri wa Ardhi Nyumba na  
Makazi Prof. Anna Tibaijuka maeneo ya wazi yaliyovamiwa na wananchi  
katika maeneo ya Sinza E wengine ni waandishi wa habari walioongozana na
  Waziri Tibaijuka.
Waziri
  wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na 
waandishi  wa habari mara baada ya kukagua maeneo ya wazi yaliyovamiwa 
na wananchi  katika maeneo ya Sinza E leo mchana
 
 



No comments:
Post a Comment