Mtangazaji wa Luninga Saida mwilima amevishwa pete ya uchumba hivi karibuni na mchumba wake wanotarajia kufunga ndoa hivi punde.
 Hii ndo pete aliovishwa mtangszaji wa kipindi cha Bongo beat cha Star Tv.
 Nasibu akiwa na mchumba wake Wema sepetu nao walialikwa .
Sauda mwilima akicheza muziki kwa furaha na mchumba wake baada ya kuvishana pete siku hiyo. 
  KATIBU
 Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu 
Lissu pamoja na wanachama wengine 25 wa chama hicho wamekamatwa na 
kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa tuhuma 
za kufanya mkusanyiko usio halali.
  Mbali na hao, mwenyekiti wa chama 
hicho, Freeman Mbowe ametakiwa kujisalimisha mwenyewe polisi baada ya 
kutoweka katika Viwanja vya NMC Unga Limited baada ya polisi kufanya 
operesheni ya kushtukiza kuwatawanya mamia ya wafuasi wa chama hicho na 
viongozi wao waliokesha hapo usiku wa kuamkia jana. 
 Juzi,
 viongozi hao wa juu wa Chadema walitangaza kupiga kambi kwenye viwanja 
hivyo kwa siku tatu ikiwa ni shinikizo la kutaka mahakama itoe kibali 
maalumu cha kumtoa gerezani Kisongo, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless 
Lema ambaye naye anatuhumiwa kufanya mkusanyiko usio halali.
  Kaimu
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Akili Mpwapwa alisema jana kwamba 
viongozi hao walikamatwa alfajiri ya kuamkia jana baada ya polisi 
kuvamia mkutano huo wa mkesha.
             
             
             


MUONEKANO MPYA WA 50 CENT
 
        
 
        
Last night, NY’s Carnegie Hall hosted the 21st annual Glamour Women 
of the Year Awards, where several fabulously accomplished women in 
fashion, arts, politics, and social justice were honored. LaLa Anthony, 
Kerry Washington and Jennifer Lopez were in attendance.
LaLa Anthony
MUONEKANO MPYA WA 50 CENT
50 CENT akiwa katika pozi la suti na muonekano mpya kichwani na suti imemkaa vilivyo(stylish man)
 
 



 
   
No comments:
Post a Comment