 Habari za kidaku toka kwa rafiki wa karibu Msanii Timbulo zinasema kuwa Jacque Mpenteze ashadungwa ujauzito na kijana huyo msanii wa bongo Flava anaekuja kwa kasi katika staili za kubana pua.
 Habari za kidaku toka kwa rafiki wa karibu Msanii Timbulo zinasema kuwa Jacque Mpenteze ashadungwa ujauzito na kijana huyo msanii wa bongo Flava anaekuja kwa kasi katika staili za kubana pua.
  Penzi la Jacque na Timbulo limefikia sehemu nzuri si kiasi cha kuishi pamtu wanyetishaji wa habari hizi wamesea Haque ana ujauzito mdogodogo ambao bado haujaanza kuonekana pengine baada ya miezi kadhaa itakuwa sio siri tena.
  Kuzihilisha hayo ni kweli Msanii huyo aliimbia Uniqueentertz kuwa nyimbo yake mpya "wa leo wa kesho" ni mahususi kwa Mpenzi wake Jaque ambae ndiye chaguo lake la moyo kiasi cha kupa kibend binti huyo.KATIBU WA BUNGE AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI.
Katibu
 wa Bunge Dkt. Thomas Kashillilah ( kulia ) akiongea na Waandishi wa  
Habari( ambao hawapo pichani) kuhusu jinsi miswada mbalimbali 
ilivyopitishwa  kwenye kikao cha tano cha Bunge mjini Dodoma hivi 
karibuni, kulia ni Mkurugenzi  wa Habari,Elimu kwa Umma na Uhusiano wa 
Kimataifa Bw. Jossey Mwakasyuka. 
Dkt.
 Thomas Kashillilah (katikati )  akiongea na Waandishi wa Habari kwenye 
Ukumbi wa Bunge mjini Dar es Salaam kama  picha inavyonyesha kuhusu 
jinsi Miswada mbalimbali ilivyopitishwa kwenye kikao  cha tano cha Bunge
 mjini Dodoma hivi karibuni 
MIKATO MIPYA YA HARUSINI
 Hii ni maalumu kwa akina dada wa leo wenye kwenda na fashion kwa muda muaafaka.
Maafisa wawili waandamizi katika
 utawala wa kijeshi nchini  Misri wameomba radhi kufuatia mauaji ya 
waandamanaji yanayoendelea katika mji mkuu Cairo na miji mingine nchini 
humo.
                     
Majenerali hao wamejitokeza katika televisheni ya serikali wakitoa salaam za rambirambi kwa wananchi wa Misri.
                     
Hii ni mara ya kwanza kwa watawala wa  kijeshi kuomba radhi tangu mgogoro uanze nchini Misri.
                     
Serikali itatangaza leo namna wanavyopanga kuendelea na shughuli za uchaguzi  wa ubunge unaotarajiwa  kuanza Jumatatu ijayo.
                     
Ujumbe wa majenerali hao ulionekana kuwa wa 
kuwapa moyo watu kinyume na awali ambapo walionyesha ukali na  tarayi 
kukabiliana na upinzani hususan kwenye hotuba ya kiongozi wa baraza 
tawala  la jeshi Field Marshall Tantawi.
 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni Future Centery Helene 
Masanja,akizungumza na wahandishi wa habari kuhusu mechi ya kombaini ya 
timu za Simba na Yanga dhidi ya timu ya Kumasi Asante Kotoko ya 
Ghana,katikati ni Mwenyekiti wa Yanga Loyd Nchunga na Mwenyekiti wa DRFA
 Amin Bakharesa.

No comments:
Post a Comment