Miss Tanzania 2011, Salha Izrael akipunga mkono mara baada ya kuwasili 
katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es 
Salaam jana akitokea jijini London Uingereza alikoshiriki shindano la 
urembo la Dunia Novemba 6,2011. 
 
 Warembo na wanafamilia wakipiga picha ya pamoja na Miss Tanzania 2011, Salha Izrael.
Vodacom
 Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (katikati) akiwa na baadhi ya warembo 
walioshiriki shindano la Miss Tanzania 2011 waliofika kumpokea katika 
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana
 akitokea jijini London Uingereza alikoshiriki shindano la urembo la 
Dunia Novemba 6,2011. Warembo hao toka kushoto ni Jenifa Kakolaki, 
Alexia Willam,Hussna Maulid na Hamisa Hussein.
 Bondia Sunday Elius akipambana na Abdallah Kasimu wakati wa mashindano 
ya Kova Cup Dar es salaam jana Kasimu alishinda kwa point

 Bondia Mussa Mohamedi (kulia) kushoto akioneshana ufundi wa kutupa 
makonde na John Christian wakati wa mashindano ya Kova Cup Dar es salaam
 jana Mussa alishinda kwa point.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed 
Gharib  Bilal, akizungumza na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. 
Yassir  Mohamed Ali, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es 
Salaam  kwa mazungumzo leo Novemba 16, 2011. Picha na Muhidin 
Sufiani-OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Japan  nchini
  Tanzania, Masaki Okada, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini 
Dar  es Salaam kwa mazungumzo na kujitambulisha leo Novemba 16, 2011. 
Picha  na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:
Post a Comment