Waheshimiwa
 wabunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ni miongoni mwa wageni 
waalikwa katika shindano la kuwania taji la Vipaji la Miss Utalii Vyuo 
Vikuu 2011/12 – KANDA YA KATI.
Shindano hilo la awali litafanyika katika ukumbi wa kisasa na maalufu mkoani Dodoma wa CLUB 84, kabla ya fainali kuu ya Miss Utalii vyuo Vikuu 2011/12 – KANDA YA KATI zi takazofanyika sambamba na sherehe za miaka 50 ya Uhuru tarehe 9-12-2011.

Jumla
 ya warembo 25 kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Chuo kikuu Cha ST 
John’s ,Chuo cha Mipango,na Chuo cha Biashara (CBE) watapanda jukwaani 
kuwania taji la Miss Utalii Vyuo Vikuu 2011/12 VIPAJI – Kanda ya kati. 
Warembo wote watapanda jukwaani kuwania taji hilo kwa kushindana kucheza
 na kuimba nyimbo na ngoma za asili za makabila ya Tanzania,pia wataPita
 jukwaani katika mavazi ya asili na ubunifu.
Hii itakuwa ni fulsa ya pekee kwa waheshimiwa wabunge na wakazi wa Dodoma na mikoa ya jirani,kushudia jinsi warembo wasomi wa vyuo vikuu wakidumisha utamaduni wa mtanzania kwa kucheza na kimba nyimbo na ngoma za asili ya makabila ya mtanzania.
Wadhaminiwa ni LAKAIRO HOTEL (Mwanza) Royal Village Hotel, NAM Hotel, KITOLI Hotel, Happy Fashion, Shabiby Bus Services, New Soft Hair Dressing Saloon, Becko Quality Center, CF communication ,Book Center and Stationary, Hotel Kitemba, CLUB 84, Master Pub, Musa transport, Perugina Investment, Dar city Collage,Father Kidevu Blog, shaabanmpalule.blogspo

 Majina
 ya washiriki wa shindano hilo linalo.Esther Maganza (Udom),Getrude 
Avelyn(Mipango),Loveness Shore(Mipango),Lisa Jackson(Mipango) ,Lilian 
Maleo(Udom),Alphonca Victor(Mipango),Irine Richard(Cbe),Jennifer 
Mafuru(Udom),Hawa Nyange(Udom),Lilian Charles(Mipango),Sarah 
Charles(Mipango),Violeth Ndawi(Mipango),Irine Julius(Mipango),Juster 
Julius(Mipango),Anneth Swai(St.John),Anitha Charles (Udom),Jacquiliney 
Kinabo(Udom),Pricilla Mponeja(Udom) wa fainali hizo watawakilisha Vyuo 
Vikuu vya kanda ya kati katika fainali za taifa za Mis Utalii Tanzania 
2011/12 zitakazo fanyika Februari 2012.
Kambi a mazoezi ya warembo hao inaendelea katika hoteli ya kitalii ya Royal village hotel Dodoma,chini ya walimu wa Mariam Hamis (Miss Ualii Dodoma 2010/11na Jamida Abdul ( Miss utlii kigoma 2010/11) . haki katika kambi ya mazoezi ni ya ushindani mkubwa kutokana na washiriki wa kila chuo kudhamiria kutwaa taji la Vipaji hapo tarehe 18-11-2011na taji lenywe la MissUtalii Vyuo Vikuu 2011/12 – kanda ya Kati hapo tareh 9-12-2011.
J-LO SASA ANATOKA NA DANCER WAKE

CHADEMA NA NCCR WAPINGA KUBURUZWA BUNGENI
 
 Alionekana
 na baba yake mjini LA akiwa anachorwa katika painting session at Color 
Me Mine – sehemu ambayo watoto wanajifunza kuchora kwa ubunifu wao 
wenyewe.

Mvua
 kubwa iliyonyesha leo jijini Mwanza kwa takribani masaa manne imeathiri
 kwa kiasi kikubwa shughuli za usafiri na usafirishaji kwa njia ya anga.
 Hali halisi....hatoki mtu...!!
Hali halisi....hatoki mtu...!!
 kwasababu za kiusalama hakuna ndege iliyoruhusiwa kutoka au kuingia Air port Mwanza.

 Hali
 ilikuwa mbaya zaidi majira ya saa mbili asubuhi ambapo maji mengi 
yaliyokuwa yakitiririka kutoka eneo la mwinuko kaskazini mwa kiwanja cha
 ndege Mwanza, yalisababisha taswira ya uwanja kubadilika na kuwa kama 
sehemu ya mto mkubwa unaotiririsha maji kuelekea ziwa victoria.

 Pichani
 ni kama ndege iliyogota katikati ya shamba la mpunga kumbe laaa!! ni 
ndege iliyo katika eneo stahiki la maegesho ya ndege.

 Wafanyakazi
 mbalimbali kiwanjani hapo wakishughulika kusafisha njia za ndege mara 
baada ya magugu na tope jingi kutanda eneo hilo.

 Chekshia ngazi za ndege....
Chekshia ngazi za ndege....
 Wafanyakazi
 wa idara tofauti kiwanjani hapo wakihaha kuzima swichi za umeme 
kiwanjani hapo mara baada ya kina cha maji kuanza kupanda taratibu 
kikitishia usalama.

 Wafanyakazi sekta ya mizigo walifanya kazi ya ziada kunusuru mizigo ilokuwa tayari imepakiwa kitengo cha mizigo isilowe.

 Mara baada ya maji kupungua unaweza kuona jinsi miundo mbinu hasa njia za ndege ilivyoathirika.

KIM KARDASHIAN KUSHITAKIWA

In a new legal move, a competing hair removal company claims Kim Kardashian and the company she works for have misled consumers about all things follicle.
Kim is the hairless face of TRIA, a home laser hair-removal system. Radiant, a rival company that sells no!no! hair, claims Kim has deceived the public with her pitch, specifically ...
-- Kim claims she uses TRIA over her entire body, but Radiant maintains even TRIA says it's not safe for the face, head, ears, neck, nipples, genitals or anus.
-- Kim touts TRIA by claiming "You'll never need razors or shaving cream again." But according to the lawsuit, TRIA's instructions note the product is supposed to be used in concert with shaving.
-- Kim has said numerous times she's been getting professional hair removal treatments for more than a decade, so Radiant wants to know how she can possibly say TRIA is her secret.
Radiant wants TRIA and Kim to stop making the alleged false claims ... and is seeking unspecified damages.
Kambi a mazoezi ya warembo hao inaendelea katika hoteli ya kitalii ya Royal village hotel Dodoma,chini ya walimu wa Mariam Hamis (Miss Ualii Dodoma 2010/11na Jamida Abdul ( Miss utlii kigoma 2010/11) . haki katika kambi ya mazoezi ni ya ushindani mkubwa kutokana na washiriki wa kila chuo kudhamiria kutwaa taji la Vipaji hapo tarehe 18-11-2011na taji lenywe la MissUtalii Vyuo Vikuu 2011/12 – kanda ya Kati hapo tareh 9-12-2011.
J-LO SASA ANATOKA NA DANCER WAKE
Jennifer Lopez has officially moved on from ex-husband Marc Anthony and is now dating 24-year-old background dancer Casper Smart. 
  
CHADEMA NA NCCR WAPINGA KUBURUZWA BUNGENI

WABUNGE
 wa Chadema na NCCR-Mageuzi jana walilitikisa Bunge baada ya kuungana 
kutoka nje ya ukumbi kupinga kile walichodai kuwa ni Spika wa Bunge, 
Anne Makinda kuwadharau kwa kuwanyima haki zao kwa mujibu wa 
kanuni.Wakati wabunge hao wakitoka bungeni kugomea muswada huo, Chama 
cha Majaji Wastaafu Tanzania (Tarja), kimetoa tamko kupinga hadidu za 
rejea za tume itakayoratibu mchakato wa kuundwa kwa Katiba Mpya kutolewa
 na Rais. Licha
 ya Spika Makinda kuukingia kifua muswada huo katika utangulizi wake 
kabla ya kuruhusu uwasilishaji wa hoja kwa pande zote akisema ulifuata 
kanuni za Bunge, haikusaidia kwani muda mfupi baada ya Waziri Kivuli wa 
Katiba na Sheria, Tundu Lissu kutoa maoni ya Kambi ya Upinzani, wabunge 
hao waliamua kuondoka. Muswada
 huo wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2011, ambao 
uliwasilishwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani umepata pia 
upinzani kutoka kwa wanaharakati nchini ambao wametishia kufanya 
maandamano nchi nzima endapo wabunge watauridhia. 
 
Anaweza kuwa na miaka 6 tu lakini Cruz Beckham tayari ameshaanza kufuata nyayo za baba yake.
 
Cruz tayari ameshaanza kucheza soka lakini inaonekana tayari ameshaanza kufuata mitindo ya nywele ya zamani ya mzazi wake.
Cruz alionekana jana akiwa anacheza soka huku kichwani akiwa kanyoa mtindo wa “kiduku” ambao Beckham alinyoa miaka 10 iliyopita

Mtoto
 huyo mdogo kabisa wa kiume wa Beckham, pia style yake ya nywele 
imeonekana kufanana na na style ya Roberto De Niro katika filamu ya Taxi
 Driver.
Cruz pia anajulikana kwa kupenda kuchora temporarly tattos – kitu kingine ambacho amekiiga kutoka baba yake.

MAFURIKO UWANJA WA NDEGE MWANZA YASABABISHA UWANJA KUFUNGWA KWA MUDA, ABIRIA WASHINDWA KUSAFIRI
 Hali halisi....hatoki mtu...!!
Hali halisi....hatoki mtu...!! kwasababu za kiusalama hakuna ndege iliyoruhusiwa kutoka au kuingia Air port Mwanza.
 kwasababu za kiusalama hakuna ndege iliyoruhusiwa kutoka au kuingia Air port Mwanza. Hali
 ilikuwa mbaya zaidi majira ya saa mbili asubuhi ambapo maji mengi 
yaliyokuwa yakitiririka kutoka eneo la mwinuko kaskazini mwa kiwanja cha
 ndege Mwanza, yalisababisha taswira ya uwanja kubadilika na kuwa kama 
sehemu ya mto mkubwa unaotiririsha maji kuelekea ziwa victoria.
Hali
 ilikuwa mbaya zaidi majira ya saa mbili asubuhi ambapo maji mengi 
yaliyokuwa yakitiririka kutoka eneo la mwinuko kaskazini mwa kiwanja cha
 ndege Mwanza, yalisababisha taswira ya uwanja kubadilika na kuwa kama 
sehemu ya mto mkubwa unaotiririsha maji kuelekea ziwa victoria. Pichani
 ni kama ndege iliyogota katikati ya shamba la mpunga kumbe laaa!! ni 
ndege iliyo katika eneo stahiki la maegesho ya ndege.
Pichani
 ni kama ndege iliyogota katikati ya shamba la mpunga kumbe laaa!! ni 
ndege iliyo katika eneo stahiki la maegesho ya ndege. Wafanyakazi
 mbalimbali kiwanjani hapo wakishughulika kusafisha njia za ndege mara 
baada ya magugu na tope jingi kutanda eneo hilo.
Wafanyakazi
 mbalimbali kiwanjani hapo wakishughulika kusafisha njia za ndege mara 
baada ya magugu na tope jingi kutanda eneo hilo. Chekshia ngazi za ndege....
Chekshia ngazi za ndege.... Wafanyakazi
 wa idara tofauti kiwanjani hapo wakihaha kuzima swichi za umeme 
kiwanjani hapo mara baada ya kina cha maji kuanza kupanda taratibu 
kikitishia usalama.
Wafanyakazi
 wa idara tofauti kiwanjani hapo wakihaha kuzima swichi za umeme 
kiwanjani hapo mara baada ya kina cha maji kuanza kupanda taratibu 
kikitishia usalama.  Wafanyakazi sekta ya mizigo walifanya kazi ya ziada kunusuru mizigo ilokuwa tayari imepakiwa kitengo cha mizigo isilowe.
Wafanyakazi sekta ya mizigo walifanya kazi ya ziada kunusuru mizigo ilokuwa tayari imepakiwa kitengo cha mizigo isilowe. Mara baada ya maji kupungua unaweza kuona jinsi miundo mbinu hasa njia za ndege ilivyoathirika.
Mara baada ya maji kupungua unaweza kuona jinsi miundo mbinu hasa njia za ndege ilivyoathirika. KIM KARDASHIAN KUSHITAKIWA
In a new legal move, a competing hair removal company claims Kim Kardashian and the company she works for have misled consumers about all things follicle.
Kim is the hairless face of TRIA, a home laser hair-removal system. Radiant, a rival company that sells no!no! hair, claims Kim has deceived the public with her pitch, specifically ...
-- Kim claims she uses TRIA over her entire body, but Radiant maintains even TRIA says it's not safe for the face, head, ears, neck, nipples, genitals or anus.
-- Kim touts TRIA by claiming "You'll never need razors or shaving cream again." But according to the lawsuit, TRIA's instructions note the product is supposed to be used in concert with shaving.
-- Kim has said numerous times she's been getting professional hair removal treatments for more than a decade, so Radiant wants to know how she can possibly say TRIA is her secret.
Radiant wants TRIA and Kim to stop making the alleged false claims ... and is seeking unspecified damages.
 
No comments:
Post a Comment