jana hali ilikuwa namna hii huko Iringa.
Askari wa kikosi cha askari wa kutuliza Ghasia (FFU) Iringa watumia mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya wananchi waliovamia nyumba ya mtumishi wa Mungu kwa madai kuwa kuna watu 15 wanaodaiwa kufa na kuonekana katika nyumba hiyo ( misukule).
Wananchi hao wenye hasira kali zaidi
 ya 200 walitumia mawe kuwashambulia FFU huku wao FFU wakitumia mabomu 
ya machozi kupambana Huku wanahabari wavyombo mbali mbali na 
askari polisi na mchungaji mmoja wakinusurika kuuwawawakishambuliwa kwa 
mawe na wengine kuvunjiwa kamera zao na wananchi hao 
ambao walionyesha kuwachukia askari polisi pamoja na wanahabari ambao 
waliteuliwa na wananchi wenyewe kuwawakilisha katika kukagua nyumba hiyo
 bilamafanikio  
 
 
No comments:
Post a Comment