Katika
 shindano hilo la aina yake lililofanyika katika ukumbi wa Earls Court 
in London, Sarcos mwenye umri wa miaka 21 alifanikiwa kuwatupa nje zaidi
 ya warembo 100 kutoka nchi mbalimbali Duniani katika shindano hilo 
ambalo lilikuwa ni la 61 tangu kuanzishwa kwake.
Nafasi
 ya pili ilikwenda kwa Miss Philippines 2011, Gwendoline Ruais na nafasi
 ya tatu ikienda kwa Miss Puerto Rico 2011, Amanda Perez.
Bara
 la Afrika lilifanikiwa kuingiza warembo wawili katika hatua ya makundi 
ya 15 bora ambapo mrembo kutoka nchini Zimbabwe na jirani zao Afrika 
Kusini ndio waliolitoa kimasomaso bara hilo.
Afrika
 tena ikabahatika kuingia katika hatua ya 7 bora ya Miss World pale 
mrembo kutoka Afrika Kusini alipofanikiwa kuingia katika hatua hiyo.
Shindano
 hilo lilianza kufanyika saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki 
lilipambwa na burudani mbalimbali za muziki kutoka kundi la Vijana wa 
Uingereza la street dance troupe Diversity, wakifuatiwa na utambulisho 
wa Washiriki wote wa Miss World 2011.
Shindano hilo lilifikia tamati pale Miss World 2010 Alexandria Mills alipopanda jukwaani na kumvika taji Sarcos. 
Miongoni
 mwa majaji wa shindano hilo alikuwa ni washindi wa taji la Miss World 
ambapo alikuwepo  Miss World 1976, Cindy Breakspeare , Miss World 2001, 
Agbani Darego kutoka Nigeria,Miss World 2007, Zhang Zilin na Miss World 
2009, Kaiane Aldorino.
Aidha warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya 15 bora ni kutoka nchi za Indonesia,
 Korea, Italy, Sweden, Zimbabwe, Kazakhstan, Ukraine, Venezuela, 
Philippines, US VI, Spain, Puerto Rico, Afrika Kusini, Scotland na 
wenyeji Uingereza.
Huku
 hatua ya kundi la warembo 7 bora nafasi hizo kuchukuliwa na nchi za 
Korea, Venezuela, Uingereza , Philippines, Puerto Rico, Afrika Kusini na
 Scotland.
REDD'S UNI FASHION -KILIMANJARO
 Mmoja  wa washiriki akipita mbele ya majaji wakati wa shindano la Redds Uni Fashion Bash lililofanyika mjini Moshi
Mmoja  wa washiriki akipita mbele ya majaji wakati wa shindano la Redds Uni Fashion Bash lililofanyika mjini Moshi
 Baadhi
 ya washiriki wa shindano hilo wwakiwa wamejipanga jukwaani wakati wa 
shindano hilo la fainali ilifanyika katika ukumbi wa Glaciers Inn  Moshi
  mjini Moshi.
Baadhi
 ya washiriki wa shindano hilo wwakiwa wamejipanga jukwaani wakati wa 
shindano hilo la fainali ilifanyika katika ukumbi wa Glaciers Inn  Moshi
  mjini Moshi.
 Moja kati ya burudani zilizotolewa kwenye tamasha hilo ikiendelea kwa mtindo wa Sarakasi na kuwa kivutio kikubwa-kundi hili.
Moja kati ya burudani zilizotolewa kwenye tamasha hilo ikiendelea kwa mtindo wa Sarakasi na kuwa kivutio kikubwa-kundi hili.
REDD'S UNI FASHION -KILIMANJARO
 Moja kati ya burudani zilizotolewa kwenye tamasha hilo ikiendelea kwa mtindo wa Sarakasi na kuwa kivutio kikubwa-kundi hili.
Moja kati ya burudani zilizotolewa kwenye tamasha hilo ikiendelea kwa mtindo wa Sarakasi na kuwa kivutio kikubwa-kundi hili.Olivia Discusses Kissing Maino, New Boyfriend And Love & Hip Hop Drama
Olivia and Maino are one of those confusing couples. You just don’t know whether they are cute together or kind of odd…
On Friday, G-Unit’s former first lady turned reality TV star called into WGCI’s Tony Sculfield & The Morning Riot Show to talk about the recently released pictures of her kissing
 Maino. She also dished on her new boo, NBA star Tarence Kinsey, who is 
currently playing overseas and his reaction to the photos.  Rounding out
 the interview, Olivia talked about ‘Love and Hip Hop and claimed that 
this season would definitely trump every season of any reality show 
you’ve ever watched.
 
 
No comments:
Post a Comment