She is pretty...sexy ..hot...wow!!
 Mrembo 
Fatma.A.Mganga ni mrembo mwenye haiba ya kibantu ana umri wa miaka 21 tu
 anasoma shahada "human resourcesmanagement".Hobi yake ni kucheza 
Vollyball ,muziki na kuangalia mchezo wa cricket,tambi na maini ndicho 
chakula akipendacho.
 Fatma
 ni mtoto wa kidigo aishie sinza na yupo ndani ya mahusiano na mtu wake 
special.Mrembo huyu mwenye maringo hapendi umbea na mambo yasiyo na 
msingi katika maisha.Rangi aipendayo ni nyeusi, nyeupe na udongo. 
   Matarajio yake ya baadae ni kuwa mjasiliamali.
RICK ROSS ARUDI STEJINI KWA KISHINDO

 
 
No comments:
Post a Comment