 Ilikuwa 
ni Jumatano Nov23, 2011 katika sherehe za Thanksgiving nchini Marekani ambapo 
muimbaji Jose Chameleone toka nchini Uganda alikamua.
Ilikuwa 
ni Jumatano Nov23, 2011 katika sherehe za Thanksgiving nchini Marekani ambapo 
muimbaji Jose Chameleone toka nchini Uganda alikamua. Mamia 
ya watu walifurika kuja kumuangali Msanii huyo toka Nchini Uganda kwa jina 
maarufu la Jose Chameleone, ana nyimbo zake, ikiwemo Mama roda, Jamila analia, 
na nyingi nyingi.
Mamia 
ya watu walifurika kuja kumuangali Msanii huyo toka Nchini Uganda kwa jina 
maarufu la Jose Chameleone, ana nyimbo zake, ikiwemo Mama roda, Jamila analia, 
na nyingi nyingi. Muziki 
unaponoga warembo mikono juuuu!!!
Muziki 
unaponoga warembo mikono juuuu!!! Wakati 
mwingine warembo hupandwa na jazba ya maraha na kwa wale wanaoshindwa kujizuia 
hukinasa kinasa ili wapate chombeza, hapa ni mdafada akichombeza kwenye songi la 
'kipepeo'.
Wakati 
mwingine warembo hupandwa na jazba ya maraha na kwa wale wanaoshindwa kujizuia 
hukinasa kinasa ili wapate chombeza, hapa ni mdafada akichombeza kwenye songi la 
'kipepeo'. Mambo 
ya utamuZz hayo cheza ni kuchezee ndani ya Rendezvous Hall nchini 
marekani.
Mambo 
ya utamuZz hayo cheza ni kuchezee ndani ya Rendezvous Hall nchini 
marekani. Wanasema 
muziki wako ukikubalika kwa warembo baaaasi umewini! chekshia 
mahudhurio.
Wanasema 
muziki wako ukikubalika kwa warembo baaaasi umewini! chekshia 
mahudhurio. Aj 
Ubao alikuwa ni mwimbaji wa pili kuimba katika onyesho hapa ni nyuma ya jukwaa 
akipata flash ya pamoja na mdhamini wake wapendo.
Aj 
Ubao alikuwa ni mwimbaji wa pili kuimba katika onyesho hapa ni nyuma ya jukwaa 
akipata flash ya pamoja na mdhamini wake wapendo. Muimbaji 
Ana Lov akipata flash ya pamoja na rafiki yake kwenye onesho hilo la Mwanamuziki 
wa Uganda Jose Chameleone.
Muimbaji 
Ana Lov akipata flash ya pamoja na rafiki yake kwenye onesho hilo la Mwanamuziki 
wa Uganda Jose Chameleone. WadadaZzzz.warembo.com 
ndani ya ukumbi wa Rendezvous mitaa ya Parklawn Dr, Rockville Maryland 
U.SNyuma 
ya jukwaa mwanadada Luren akipata flash.
WadadaZzzz.warembo.com 
ndani ya ukumbi wa Rendezvous mitaa ya Parklawn Dr, Rockville Maryland 
U.SNyuma 
ya jukwaa mwanadada Luren akipata flash. Cheza 
ni kuchezee na flash!!!
Cheza 
ni kuchezee na flash!!! 
 Mwana 
muziki wa kizazi kimpya ndani ya Washington DC, AJ Ubao wa kwanza (kushoto) 
pamoja mzee wa kuwachanganya Dmk global Dickson Mkama, wa kwanza( kulia) wakiwa 
nyuma ya jukwaa na Jose chameleone aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa 
muziki wake.

No comments:
Post a Comment