ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) David Mattaka - pichani na
 vigogo wenzake wawili wa zamani wa shirika hilo, wamefikishwa katika 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakidaiwa kununua 
magari chakavu 26 kinyume cha sheria ya ununuzi.  Washitakiwa wengine ni aliyekuwa Kaimu Mhasibu Mkuu, Eliasaph Ikomba na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mahesabu, William Haji.  Washitakiwa
 hao jana walisomewa mashitaka na waendesha mashitaka kutoka Taasisi ya 
Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Ben Lincon na Osward 
Tibabyekomya, na baadaye kuachiwa kwa dhamana walipotimiza masharti.
COMMON AMSANUA MPENZI WAKE CLUB
Sorry ladies, it's lookin' like Common has a new girlfriend. The 39-year-old Happy Feet 2 actor, took some time out from dissing Drake to dance with his new girlfriend.
Sorry ladies, it's lookin' like Common has a new girlfriend. The 39-year-old Happy Feet 2 actor, took some time out from dissing Drake to dance with his new girlfriend.
The unidentified woman showed off her red lips and long hair complimented which compliments Common's light and sexy complexion.
The new couple didn't feel the need to hold back their public display
 of affection as Common gripped onto his girl while they danced. The 
mysterious lady-friend even stood by her man's side as he signed 
autographs for a few fans who brought his new book to the club. 
 
 





No comments:
Post a Comment