WATANZANIA WAISHIO UK WAANDAA MAOMBI YA KUIOMBEA TANZANIA NA KUTIMIZA MIAKA 50 YA UHURU
Waandaaji wa maombi ya ya Miaka 50 ya Uhuru chini Uingereza ”Association
 of Tanzanian Christians in Europe(CITE)” Wakiwa na Mwl Christopher 
Mwakasege wakati wa Summer Confference 2009.
Mithali
 14:34 Biblia inasema Haki ya Mungu huinua Taifa na huu ndio mstari wa 
kusimamia katika Maombi hayo yanayowajumuisha watanzania wote waishio 
nchini Uingereza Hususani katika jiji la London. Kwa Mujibu Wa Mchungaji
 Emmanuel Chatawe ambaye ni mmoja wa waratibu wa Maombi hayo maombi hayo
 yatahudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na viongozi wa 
dini kutoka madhehebu mbalimbali.
 
 

No comments:
Post a Comment