Bodi
 ya wakurugenzi ya Miss Tourism Tanzania Organisation, yenye dhima ya 
kikomo ya kuandaa na kuendesha mashindano ya Miss Utalii 
Tanzania,imeendelea na safisha safisha ya viongozi na waandaaji 
wababaishaji na mamluki,baada ya kuwafutia kuwatimua waandaaji wa Miss 
Utalii Dodoma, imemfukuza aliyekuwa mpiga picha wa mashindano hayo 
katika kamati ya Taifa ya Miss Utalii Tanzania, Shaabani Mpalule,kwa 
tuhuma za umamluki na hujuma za mashindano hayo.
Kwa
 mujibu wa taarifa iliyo tolewa na Rais wa Mashindano hayo, Gideon 
Chipungahelo, sababu za kufukuzwa ikiwa ni mara ya tatu sasa,baada ya 
kuwa amefukuzwa mwaka 2008, na kurejeshwa mwaka 2011 mwanzoni na 
kufukuzwa mwezi July 2011, kisha akaomba msamaha na kurejeshwa mwezi 
septemba 2011 kwa majaribio.
Sababu
 za kufukuzwa ni pamoja na utovu wa nidhamu ulio tukuka,kokosa uaminifu,
 na umamluki wa kuhujumu shindano la Miss Utalii Tanzania. Baadhi ya 
utovu huo wa ni dhamu na maadili ni pamoja na tuhuma za kutaka kubaka 
washiriki, kuiba nyaraka za kampuni, kutumia jina la mashindano 
kujipatia huduma ,mali na hata fedha kwa maslahi binafsi. Kupigana na 
waandaaji na wanakamati kiasi cha kuharibu mali za watu na hoteli, kuiba
 mali za wajumbe na wanalamati wengine zikiwemo kamera na mashine za 
DVD.
Pia
 imethibitika kuwa ni mamluki ambaye anamaslahi na anatumiwa na 
waandaaji wa mashindano mengine hususani shindano la Miss Demokrasia 
ambalo,amekuwa akijaribu kuliandaa bila ya mafanikio, pamoja na hujuma 
nyingine amekuwa akisambaza mbalimbali za kutengeneza katika mitandao 
mbalimbali,wadhamini na hata baadhi ya vyombo vya habari ,kutishia 
warembo na hata kutoa vitisho mbalimbali kwa waandaaji wa ngazi za chini
 na wanakamati wengine. Aidha amekuwa kinara wa uvurugaji mashindano 
haya kwa kusambaza taarifa mbalimbali za kukashfu,kucha shindano na 
kuwachafua viiongozi ,washiriki,washindi na hata sanaa ya urembo na 
ustawi wa shindano hili na mengine nchini, Wakati wote akiwa mpigapicha 
wa mashindano haya amekuwa akitumia picha kuwatishia washiriki na kuwapa
 masharti ambayo ni kinyume cha maadili ili awepe picha. Wakati wote 
amekuwa na tabia za kutumia au kuweka maelezo tofauti na picha za 
matukio mbalimbali ya mashindano kwa lengo la kuchafua warembo na 
mashindano kwa ujuma.
 Mwandishi wa habari aliepata misukosuko Jerry Muro akiongea na waandishi wa habari leo baada ya kuachiwa huru na mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.
Mwandishi wa habari aliepata misukosuko Jerry Muro akiongea na waandishi wa habari leo baada ya kuachiwa huru na mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijijini Dar es Salaam imemwachia huru na kuwafutia mashtaka aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Jerry Muro pamoja na washtakiwa wenzake wawili ambao ni Edmund Kapama na Deogratius Mgasa waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kuomba rushwa ya tsh.10 milioni.
JERRY MURO YUKO HURU

BREAKING NEWS; MCHEKESHAJI O'NEAL AFARIKI DUNIA

Comedian Patrice O'Neal died Tuesday morning ... as a result of a stroke he suffered back in October ... this according to his friends at the "Opie and Anthony" radio show.
O'Neal had been a staple in the comedy world for years -- and performed at the "Comedy Central Roast of Charlie Sheen" back in September.

O'Neal was a regular guest on the "Opie and Anthony" radio show -- and appeared on several TV shows such as "Chappelle Show," "The Office," and "Tough Crowd with Colin Quinn."
Opie just tweeted, "Yes it's true that our pal Patrice O'Neal has passed away. The funniest and best thinker I've ever known PERIOD."
 
No comments:
Post a Comment