



 African
 Stars Entertainment Tanzania (Aset) ambao wanajulikana kwa jina la  
“Twanga Pepeta” walikuwa  kivutio cha sherehe za miaka 50 ya Uhuru 
London juzi Jumamosi. 
Kikosi
 hiki cha watumbuizaji maarufu wa Kibongo kilikaribishwa na  Urban 
Pulse, Jestina George wakishirikiana na Ubalozi wa Tanzania mjini hapa.
Watanzania
 wa kila rika, nasaba na taaluma walifurika toka miji ya Leeds, Bristol,
 Birmingham, Northampton, Milton Keynes na vitongoji mbalimbali 
kufurahia vigongo vya bendi hili lenye makao makuu Mango, Kinondoni Dar 
es Salaam. 
Ukumbi
 wa Club 2000 Banqueting Suite ulioko nyuma ya uwanja maarufu wa Wembley
 ulishuhudia tafrija hiyo wakati viongozi rasmi wa serikali walipofungua
 tafrija wakicheza nyimbo maarufu za Kitanzania kama ule wa mwanamuziki 
Salum Abdallah (“Wanawake wa Tanzania” na “Tujenge Nchi Yetu”) marehemu 
alizoimba mara baada ya Uhuru mwaka 1961.
JASIRI HAACHI ASILI
Mawe yakiwa yamezolewa na maji hadi kuingia sehemu ya barabarani.
Hali ndiyo hii mdau.
JASIRI HAACHI ASILI
Makamu wa Rais Mh. Bilal akiwa na Waziri Mkuu akimpa maelekezo kuhusu mila za makabila ya Mkoa wa Rukwa na vitu wanavyotumia vya makabila ya huko.
MVUA YAKATA MAWASILIANO YA BARABARA KATI YA ARUSHA NA KARATU
Hali ndiyo hii mdau.
Wananchi
 pamoja na watalii wanaotumia barabara inayo unganisha arusha  na karatu
 leo wamekwama baada ya mto kirurumo uliopo mto wa mbu kukata  barabara 
na kujaza mawe njiani vilele kwa mujibu wa wananchi waeneo hilo  
inasemekana mtu mmoja amepoteza maisha mto huo umefurika baada ya mvua  
kubwa iliyo nyesha usiku wa kuamkia leo.
 
 
 
 
 
 

Mwili wa marehemu Samweli Julius ambaye alikuwa ni msaidizi wa mitambo ya kutengeza barabara, ukiwa umenasa juu ya mti. 





 
 

No comments:
Post a Comment