Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, December 5, 2011

BREAKING NEWS: RAPPER TOMMY HILL APIGWA RISASI HADI KUFA


 Rapper Tommy Hill was shot and killed in Philadelphia earlier this week, sources have confirmed with UNIQUEENTERTZ

The rapper, born John Wilson, was a member of the well-known hip-hop group R.A.M. Squad.

A source provided AllHipHop.com with the details surrounding the shooting of Tommy Hill.

The source told AllHipHop.com that robbery was the motive, although there could have been any number of reasons behind his murder, due to his criminal background and alleged association with the mob.

Late Thursday, early Friday morning, the rapper was coming out of a bar named Reuben’s Marc, which is located on Stenton Avenue and Mount Pleasant in the Uptown area of Philadelphia.

“He was in a bar having a good time and after they shot him and robbed him,” a confidential source told AllHipHop.com. “The dudes he was with shot back, security came out and it was hectic situation.”

Although it cannot be confirmed, the source said that Tommy Hill was alive after the shooting on Thursday.

But he died from his wounds in a Philadelphia hospital, sometime over the weekend.

The Richard Allen Mob [R.A.M. Squad] was a popular Philadelphia hip-hop group in the 80s and 90s who recorded with notables like Nelly and Sticky Fingaz.

The R.A.M. Squad, named after the notorious Richard Allen Homes housing projects, featured group members Tommy Hill, Boy Backs, Suave, 6’9 and Wiz Gam.

The group released albums like Operation Lock The City (1996), Thee Album Regardless (1997) and their major label debut, Universal’s 2001′s Random Access Money.

The album contained R.A.M. Squad’s best known single, “Ballers (Up In Here).”

Despite his career as a rapper, Tommy Hill ran into serious legal trouble in 2003, during a federal investigation into the R.A.M. Squad’s involvement in the city’s cocaine trade.

Sunday, December 4, 2011

BREAKING NEWS: MISS USA RIMA FAKIR AKAMATWA

Former Miss USA Rima Fakih was arrested in Michigan early Saturday for suspicion of drunken driving ... this according to an attorney for the beauty queen.

Police would not confirm the arrest -- and Fakih even tweeted yesterday she wasn't even in Michigan -- but her attorney, Donald Elder, told the Detroit Free Press, "Unfortunately she was."

Elder told the paper Fakih was "very saddened and very apologetic for the situation that she is in right now."

As for the tweet, Fakih posted around 5:00 PM on Saturday: "Let’s clear things up now.... I’m NOT in Michigan and I’m NOT in jail! Wrong Fakih."


MTU MMOJA AUWAWA MBEYA NA KISHA KUFUNGWA KWENYE MTI KWA TUHUMA ZA WIZI.

Muuguzi kutoka Hospitali Teule ya Ifisi iliyopo mji mdogo wa Mbalizi wilaya ya Mbeya vijijini Bi Tabu Kumwenda, akiufanyia uchunguzi mwili wa marehemu Ndele Shantiwa (30), aliyeuawa kwa kukatwakatwa kwa mapanga na shoka na wananchi wenye hasira baada ya kushirikiana na wenzake wawili ambao ni Ndele Rujewa na Mboya kuiba mali zenye thamani ya shilingi 586,000/= za kitanzania mali ya Bwana Geofrey Kabiba

Mguu wa kulia ukiwa umekatwa kwa Panga ambao ni wa marehemu Ndele Shantiwa (30), aliyeuawa kwa kukatwakatwa kwa mapanga na shoka na wananchi wenye hasira baada ya kushirikiana na wenzake wawili ambao ni Ndele Rujewa na Mboya kuiba mali zenye thamani ya shilingi 586,000/= za kitanzania mali ya Bwana Geofrey Kabiba
Marehemu Ndele Shantiwa (30), akiwa amefungwa kwenye mti, amapo ameuwawa kuawa kwa kukatwakatwa kwa mapanga na shoka na wananchi wenye hasira baada ya kushirikiana na wenzake wawili ambao ni Ndele Rujewa na Mboya kuiba mali zenye thamani ya shilingi 586,000/= za kitanzania mali ya Bwana Geofrey Kabiba.

BREAKING NEWS:NAHODHA WA BRAZIL 1982 AFARIKI DUNIA
Mchezaji mashuhuri wa soka aliyewahi kuwa nahodha wa Timu ya soka ya Brazil, Socrates amefariki akiwa mwenye umri wa miaka 57. Socrates aliyezaliwa tarehe 19/02/1954 alikuwa nahodha wa Timu ya Brazil kwenye michuano ya Kombe la Dunia mara mbili.
Socrates aongoza Brasil
Socrates wa Brazil
Jina lake, Socrates Brasileiro Sampaio de Souza Vierra Oliveira. Ni dhana ya babake kua ukiwapa wanao majina ya watu mashuhuri watafuata nyayo zao. Ni mtoto wake wa nne aliyeponyoka jina Xenofontes, baada ya mamake kupinga vikali na badala ya hilo akaitwa Rai aliyeshiriki Timu ya Brazil iliyoshinda Kombe la Dunia la mwaka 1994.
Wakati Socrates akicheza, wengi walimuona kama mchezaji bora wa wakati huo.
Jina lake la Socrates, lilitokana na babake kusisitiza wanawe watatu wapewe majina ya wana filosofia wa Ugiriki ya kale. Akiwa na jina kama hilo haikushangaza kuona mcheza soka huyu kupata sifa ya mtu anayetumia mda wake akitafakari kitu, kutoa maoni yake juu ya masuala mbalimbali pamoja na soka.

FALLY PUPA ALIVYOPAGAWISHA MASHABIKI DAR

Fally akinengua na mrembo jukwaani.
Fally Ipupa akiwajibika jukwaani hapo.
… akiserebuka na mrembo mwingine.
: Baadhi ya wanamuziki wa Fally Ipupa
: Msanii wa filamu Bongo, Steven Kanumba ‘akizama’ ukumbini hapo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Ali Kiba (kulia), akikamua katika shoo hiyo na Dully Sykes.
Mmoja wa wasanii waliotumbuiza ukumbini hapo akionyesha mazingaombwe, na hapa akiwa amemlaza hewani mwenzake aliemtia usingizi na kupaki akiwa ameegemea kichwa tu.
Msanii huyo akionyesha kumlaza mwenzake kwenye viti.
: … akiwa amemlaza katika ubao uliokuwa juu ya viti kabla ya kuvitoa.
Wasanii wa sarakasi wakionyesha uwezo wao.
Kuwa hivi yanahitajika mazoezi ya nguvu.
Fally Ipupa akimkokota mrembo kumuondoa stejini hapo.
Mboni Masimba (kushoto) na rafikiye wakipiga makofi.
Kanumba akiwa katika pozi na mrembo.
Baadhi ya mashabiki wakiofrika ukumbini hapo wakifuatilia shoo hiyo.
MSANII wa muziki wa Dansi kutoka Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, Fally Ipupa, usiku wa kuamkia leo amepagawisha vilivyo katika Tamasha maalum la Usiku wa Kiafrika lililokuwa limeandaliwa na Club E ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, huku akisindikizwa na Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba na Bendi ya THT.
Tamasha hilo lilikuwa hususani kwa kuonyesha uafrika zaida ambapo baadhi ya vitu vilivyokuwa vikionyeshwa ukumbini hapo ni pamoja na mavazi ya kiasili ya mwafrika na michezo mbalimbali yenye tamaduni ya Kiafrika.


COMMMON AWAONYA WAREMBO KILE WALICHOKISUBIRI 
 Common has been prepping for the release of his ninth studio album The Believer, The Dreamer, but that's not stopping him from keeping his acting feet wet.


USHER NA TAMEKA MSHIKEMSHIKE

1203_usher_tameka_foster_getty_EX
Usher's ex-wife Tameka Raymond is freaking out that testing the singer for drugs will soon be useless -- because the more time that passes, the more time Usher has to cleanse his system of illicit substances.
In case you haven't been following -- Tameka demanded Usher take a drug test recently because she thinks the singer is popping pills and who-knows-what-else around their kids.
Usher refused on grounds Tameka's demands were "frivolous and unfounded" and only intended to “harass and embarrass” the singer -- but now, Tameka is taking her case back to the judge in the ex-couple's custody war, pleading with the court to force Usher to take the test despite his refusal.
  And according to the docs, Tameka wants the court to make it snappy -- claiming, any further delay will allow Usher to "cleanse" any evidence of drugs from his system.



KELLY ROWLAND APIGA BONGE LA SHOW
I don’t think you ready for this jelly!
Last night, Kelly Rowland hit the stage and performed at the bbc Radio 1 Xtra Live at Brixton Academy. Kelly gave the audience a little “Motivation,” which was too tantalizing for live TV so she had to perform the song twice. The second time she was order to cover up with a jacket to tone down some of her gyrating and raunchy moves.

Friday, December 2, 2011

EXCLUSIVE: BARACK OBAMA AWASHA MTI WA CHRISMASS IKULU YA MAREKANI

 Rais Obama akiwa na watoto wake pamoja na mkewe katika hafla za kuwasha mti wa mkrismai ambapo sherehe hizo zimefanyika jioni ya ya leo kwa saa za usa.
President Barack Obama and the first family got in the holiday spirit as they lit up the new National Christmas Tree at the White House last night!
Obama was joined by First Lady Michelle Obama, his daughters Sasha and Malia, Kermit the Frog and host for the evening.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA CUF IKULU LEO

Rais Jakaya Kikwete leo amekutana na ujumbe a uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam na kuzungumza nao juu ya sheria ya kuanza mchakato wa kutafuta katiba mpya. Ujumbe huo umeongozwa na Makama Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis Ally (angalia picha No 20, 23, 24) mwenye suti ya bluu iliyope.


  NDOA YA ASKOFU EDDIE VIPANDEVIPANDE

Vanessa Long, the wife of troubled Atlanta pastor Bishop Eddie Long has filed for divorce. 

In a statement read by her attorney, Vanessa said: 

"After a great deal of deliberation and prayer, I have decided to terminate my marriage to Bishop Eddie L. Long. It is my sincere hope that this matter can be resolved expeditiously, harmoniously, and fairly.
I ask that you respect my privacy and that of my family, as my attorneys and I have agreed that we will not try this case in the media, and I do not intend to make any further statements concerning this matter."

Last fall, four young men accused Long of coercing them into having sex. Their lawsuits were settled in May, then dismissed.

Our thoughts are with the Long family as they endure this difficult time. 

SIRI NZITO ZA UFISADI WA RADA ZAFICHUKA

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( Takukuru), 
Dk Edward Hoseah
KASHFA nyingine imeikumba Serikali ya Tanzania, kufuatia tuhuma kwamba ina mkakati maalumu kuzuia watuhumiwa wa ufisadi wa rada kufikishwa mahakamani.Taarifa za mtandao wa Wikileaks ambao umekuwa ukifichua siri za kidiplomasia na ufisadi duniani, umeibua tuhuma hizo mpya kwa Serikali na kwamba hicho ndicho kikwazo cha watuhumiwa husika kutofikishwa mahakamani.Taarifa ya mtandao huo uliyosambazwa jana imeeleza kuwa mpango huo, ndio ulioathiri jitihada za aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Clare Shot kuzuia Tanzania kuuziwa rada hiyo.


FAMILIA YA BOB MARLEY YAMSHTAKI BRO KUTUMIA JINA LA BOB
1201_bob_marley_ex
Bob Marley
's widow is smoking mad over a relative pimping out the family name to sell everything from concerts to fish, poultry, energy drinks and booze -- and she's suing to stop him.

Rita Marley and nine of Bob's kids filed a federal lawsuit against Richard Booker -- Bob's bro from another father ... for trademark infringement and unauthorized use of Marley's likeness.

According to the suit, Booker's been real busy -- registering the trademark "Mama Marley" to sell ... among other things ... fish, fish and chips, fish cakes, fish croquettes, fish fillets, fish mousse, and fish sausages. Yes, Bob loved him some fish.

In addition, the suit claims Booker is using Marley's name and image to market an annual concert in Miami, known as the 9 Mile Music Festival. For those not in the know ... 9 Mile is the Jamaican village where Bob was born and buried.

Bob's family says they have the rights to all things Marley and want all of Booker's profits. They also want a judge to order Booker to stop all future use of the name.

Interestingly, next year's headliners at that 9 Mile Music Festival include Stephen, Damian and Julian Marley -- all plaintiffs in the suit.

KONGAMANO LA VIJANA WA CHADEMA MJINI BUKOBA CHINI YA MH. HARIMA MDEE (MBUNGE);

Mchokoza Mada Mh.Mdee Mbunge Jimbo la Kawe(Chadema).

Changamoto ni swala zima la Mswada wa Katiba na kile Chadema walicho Ongea na Mh.Rais Kikwete..


Mbunge Viti Maalumu Bi Konchesta Rwamlaza
Bi Harima Mdee Mbunge Jicho la Kawe (Chadema)

BREAKING NEWS: MR.EBBO AFARIKI DUNIA

                                                       Ndugu wenzangu usiku wa jana, kuna ujumbe wa kusikitisha sana ya kwamba Abel Motika a.k.a Mr. Ebbo ambae ni msanii na pia ni producer wa muziki katika studio yake ya Motika Records mjini Tanga ameaga duniani,taarifa zilizopatikana kwa jirani yake wa Mr.Ebbo amesema kuwa alikuwa anaumwa na alikuwa amelazwa hospitali ya Mount Meru na  usiku ndipo alifunga ukrasa wake wa maisha na safari yake ya kuishia ndio ulifika mwishoni mwa jana saa 5 usiku.


WAZIRI MWANDOSYA AREJEA NYUMBANI
Waziri wa Maji, Profesa Mark Mwandosya, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Apollo, nchini India, kwa takriban miezi minane, amerejea nchini, baada ya afya yake kuimarika. Habari zilizopatikana jijini Dar es Salaam zilizothibitishwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Gerson Lwenge, Profesa Mwandosya alirejea nchini juzi. Mwingine aliyethibitisha jana kurejea kwa waziri huyo mwandamizi, ni mkewe, Lucy Mwandosya. Hata hivyo, Mhandisi Lwenge, ambaye alizungumza na jana, alipotakiwa kueleza maendeleo ya afya ya Waziri Mwandosya, alijibu: “Sijamuona, ndio naenda. Ukinitafuta baadaye nitakwambia.” Awali, Mhandisi Lwenge, alipoulizwa kama Waziri Mwandosya amerejea nchini, alijibu: “Ndio amerudi” na alipotakiwa kueleza lini alirejea, alijibu: “Jana (juzi).” Baadaye, majira ya saa 11.05 jioni jana, ilimtafuta Profesa Mwandosya kwa simu yake ya mkononi, ambayo ilipokelewa na mkewe, Lucy. Baada ya mwandishi kujitambulisha na kueleza shida yake ya kutaka kuzungumza na Profesa Mwandosya, Lucy, alisema muda huo waziri asingeweza kuzungumza kwa vile alikuwa anapumzika.

MILIONI 55 ZAKUSANYWA RED RIBBON FASHION SHOW


WAKATI jumla ya sh. Milioni 55 zimechangishwa katika maonyesho ya mitindo kwa ajili ya kuadhimisha siku ya ugonjwa hatari wa UKIMWI duniani (Red Ribbon Fashion Gala), mwanamuziki nyota nchini, Diamond aling’ara vilivyo kwa kuonyesha kipaji kingine cha maonyesho ya mavazi.
Fedha hizo zilipatikana kwa njia ya mnada wa vitu mbali mbali na nyingine zikitolewa kwa njia ya udhamini wa shughuli hiyo iliyotumika pia kuadhimisha siku ya ugonjwa hatari wa Ukimwi Duniani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Mitindo House (TMH), Khadija Mwanamboka aliwashukuru wadau wa maonyesho ya mavazi kwa kujitolea kufanikisha kupatikana kwa fedha hizo ambazo zitatumika kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha mafunzo ya fani mbali mbali kwa watoto yatima wanaoishi na virusi vya Ukimwi.
Mwanamboka alisema kuwa kituo hicho kitajengwa jijini na kitatoa mafunzo ya njia mbali mbali za kupambana na maisha, Ujasiliamali, Ushonaji nguo, mafunzo ya kompyuta na jinsi ya ubinifu wa mitindo au mavazi. Alisema kuwa jumla ya watoto yatima 100 watakuwa wanapata mafunzo katika kituo hicho kila mwaka.
Baadhi ya wadhamini waliochangia kufanikisha kwa fedha hizo ni kampuni ya simu ya mkononi, Vodacom Tanzania na wadau wa maonyesho ya mavazi ambao walichangia kimya kimya katika maonyesho hayo yaliyofanyika kwenye hotel ya Double Tree.
Katika maonyesho hayo, mkali wa miondoko ya Bongo Fleva nchini, Diamond naye alifanya vitu vyake jukwaani kwa kuvaa nguo aina ya Kidoti iliyobuniwa na mbunifu chipukizi, Jokate Mwegelo.
Wengine walioonyesha mavazi jukwani ni Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Production, Ritha Poulsen ambaye baadaye nguo yake iliunuliwa na mcheza filamu maarufu nchini, Steven Kanumba.
Wabunifu mbali mbali akiwemo Doreen Estazia nao walionyesha mavazi yao, Doreeen alionyesha mitindo yake maarufu ya Eskado Bird. Wabunufu wengine waliotamba katika maonyesho hayo ni Ali Rhemtullah, Diana Magese, Mollel na Zamda.
Wadhamini wengine wa shughuli iyo walikuwa Redds, Clouds Entertainment, Kiondo Communications, I_View Media team na Hall Neel Production. Wengine waliosaidia maonyesho hayo ya mavazi ni Amaya Beauty Saloon and SPA, Bank M Tanzaniia, Stanbic Bank, Mimis collections, Kidoti By Jokate Mwegelo, Bongo Real Mamaz na Bluecherriemoe.
Wadau wengine ni Flaviana Matata Foundation, Amina Design, Jenifa Pemba, FM Express events and services ltd, Ernst &Young, ,LR Creations, Millen Magese Foundation Tiffex, Cool Blue Iku Lazaro, Miraj Kikwete, Halima Kamus, Mabibo Beer Wines nd Spirits Ltd, and World Link Travel and Tours ltd.

Thursday, December 1, 2011

BREAKING NEWS; DAVD WAKATI AFARIKI DUNIA


Mtangazaji wa siku nyingi na mwaasisi wa Shirika la Utangazaji la Tanganyika Broardcasting Cooparation (TBC) enzi hizo, na Radio Tanzania Dar es salaam (RTD) Mzee David Wakati amefariki dunia usiku wa kumakia leo. Habari zaidi na mipango ya mazishi tutaendelea kuwajulisha kwa yale yatakayojiri kuhusiana na msiba huo mkubwa kwa wanataaluma ya habari. Mzee David Wakati alikuwa ni mtangazaji mahiri na aliyeitangaza vyema Tanzania katika masuala ya habari kimataifa hasa alipokuwa akifanya kazi katika Idhaa ya Kikwashili ya Sauti ya Ujerumani jijini Born Ujerumani.
Mungu aiweke roho ya marehemu David Wakati mahali pema peponi.
AMEN.

J-LO AENDELEZA MAPENZI NA SMART ANGALI ANA PETE YA NDOA YA MARC ANTONY
 1201_jlo_FameJennifer Lopez's lips say she's moved on to new BF/dancer Casper Smart -- but at least one of her fingers seems to be holding on to her ex.
While J.Lo snuck a few cougar kisses with Casper between rehearsals in L.A. ... she was still sporting what looks a lot like the 8.2 carat wedding ring she got from Marc Anthony.
Can ya blame her? 8.2 carats!! At least it's on her right hand
.  


Bw Morgan Tsvangirai
Waziri mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai amesema uhusiano wake na mfanyabishara Locadia Tembo umefikia tamati, siku chache baada ya kutoa mahari.
Bw Tsvangirai alisema uhusiano wao "umeharibiwa na hautengenezeki" baada ya "kutekwa" na wapinzani wa kisiasa.
Wawakilishi wake walitoa mahari ya maelfu ya madola na ng'ombe katika sherehe zilizofanyika Novemba 18.
Bw Tsvangirai yuko kwenye serikali ya muungano na mpinzani wake, Rais Robert Mugabe.
Katika taarifa iliyotolewa, Bw Tsvangirai, mwenye umri wa miaka, 59, alisema anatia shaka kama uhusiano wake utakuwa na "umoja thabit" na Bi Tembo mwenye umri wa miaka 39, mfanyabiashara na dada wa mbunge mmoja kutoka chama cha Bw Mugabe Zanu-PF.
"'Ndoa hii' imegubikwa na mambo mengine na kuna mkono wa kisiasa ambao sasa unaushughulisha mchakato huu," alisema kwenye taarifa hiyo.
Mke wa kwanza wa Bw Tsvangirai, Susan, alikufa kwenye ajali ya gari siku chache baada ya kuwa waziri mkuu.

MAGESE IS BACK....STRESS IS OVER (I LIKE MY SEXY BODY)

           The Animal Magese,Picha nimejipiga mwenyewe leo asubuhi nilipoamka.
          Superman is back....Unstoppable
Magese from the sress,ni mazoezi ya mwezi mmoja tu nilipoweka kambi ya mazoezi katika gym kurudisha my sexy body awali niliachana na mazoezi takribani miaka miwili iliyopita...Dares salaam ..STAND UP!!


HALI YA VENGU YAZIDI KUWA TETE
 
     WINGU zito limetanda kwa mastaa nchini wakionesha majonzi makubwa juu ya afya ya staa mwenye uzani wa juu Bongo, Joseph Shamba a.k.a Vengu (pichani) ambaye hali ya afya yake ni tete, kalamu ya Risasi Mchanganyiko inaandika kwa simanzi.
  Vengu ambaye ni mchekeshaji wa Kundi la Orijino Komedi linalorusha michezo yake kupitia Kituo cha Runinga cha TBC1 cha jijini Dar es Salaam, kwa muda mrefu sasa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiendelea na matibabu huku ugonjwa unaomsumbua ukiwa siri.

  Habari ambazo zimepatikana mpaka sasa, zinaeleza kwamba Vengu anasumbuliwa na maradhi ya kichwa bila kufafanua zaidi aina ya tatizo alilonalo kichwani.

  Kwa nyakati tofauti, mastaa wameonesha vilio vyao juu ya staa mwenzao huyo kwa kile walichoeleza kuwa wanafichwa maradhi yanayomsumbua, lakini pia hawapati taarifa rasmi kutoka kwa watu wa karibu na msanii huyo ili nao waweze kuonesha undugu wao kama familia moja katika fani.
  Mastaa waliopata fursa ya kuzungumza na gazeti hili kwa njia ya simu, juzi Jumatatu na kutoa maoni yao ni Vincent Kigosi ‘Ray’, Ruth Suka ‘Mainda’, Maimartha Jesse, Aunt Ezekiel, Mhe. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Ambwene Yesaya ‘AY’ na Jacqueline Wolper.
  Ray, Mainda, Aunt na Wolper ni wasanii wa filamu, Maimartha ni mtangazaji, AY ni mwanamuziki wa Bongo Fleva wakati Sugu ni Mbunge wa Mbeya Mjini huku akiendeleza harakati zake katika muziki wa kizazi kipya. 





MWANAMKE MMOJA NA WATOTO WANE WAPIGWA RISASI

Detectives say a man shot four children and a woman outside a Bay City Texas home before turning the gun on himself.
The shooting took place at about 3:18 pm at a home in the 2700 block of 10th Street in Bay City and when police arrived on the found six people had been shot.