Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, December 1, 2011

BREAKING NEWS; DAVD WAKATI AFARIKI DUNIA


Mtangazaji wa siku nyingi na mwaasisi wa Shirika la Utangazaji la Tanganyika Broardcasting Cooparation (TBC) enzi hizo, na Radio Tanzania Dar es salaam (RTD) Mzee David Wakati amefariki dunia usiku wa kumakia leo. Habari zaidi na mipango ya mazishi tutaendelea kuwajulisha kwa yale yatakayojiri kuhusiana na msiba huo mkubwa kwa wanataaluma ya habari. Mzee David Wakati alikuwa ni mtangazaji mahiri na aliyeitangaza vyema Tanzania katika masuala ya habari kimataifa hasa alipokuwa akifanya kazi katika Idhaa ya Kikwashili ya Sauti ya Ujerumani jijini Born Ujerumani.
Mungu aiweke roho ya marehemu David Wakati mahali pema peponi.
AMEN.

J-LO AENDELEZA MAPENZI NA SMART ANGALI ANA PETE YA NDOA YA MARC ANTONY
 1201_jlo_FameJennifer Lopez's lips say she's moved on to new BF/dancer Casper Smart -- but at least one of her fingers seems to be holding on to her ex.
While J.Lo snuck a few cougar kisses with Casper between rehearsals in L.A. ... she was still sporting what looks a lot like the 8.2 carat wedding ring she got from Marc Anthony.
Can ya blame her? 8.2 carats!! At least it's on her right hand
.  


Bw Morgan Tsvangirai
Waziri mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai amesema uhusiano wake na mfanyabishara Locadia Tembo umefikia tamati, siku chache baada ya kutoa mahari.
Bw Tsvangirai alisema uhusiano wao "umeharibiwa na hautengenezeki" baada ya "kutekwa" na wapinzani wa kisiasa.
Wawakilishi wake walitoa mahari ya maelfu ya madola na ng'ombe katika sherehe zilizofanyika Novemba 18.
Bw Tsvangirai yuko kwenye serikali ya muungano na mpinzani wake, Rais Robert Mugabe.
Katika taarifa iliyotolewa, Bw Tsvangirai, mwenye umri wa miaka, 59, alisema anatia shaka kama uhusiano wake utakuwa na "umoja thabit" na Bi Tembo mwenye umri wa miaka 39, mfanyabiashara na dada wa mbunge mmoja kutoka chama cha Bw Mugabe Zanu-PF.
"'Ndoa hii' imegubikwa na mambo mengine na kuna mkono wa kisiasa ambao sasa unaushughulisha mchakato huu," alisema kwenye taarifa hiyo.
Mke wa kwanza wa Bw Tsvangirai, Susan, alikufa kwenye ajali ya gari siku chache baada ya kuwa waziri mkuu.

No comments: