Marehemu John Ngahyoma akiwa kazini enzi za uhai wake.   
   | 
     | Tumepata      taarifa kwamba Mwandishi wa Habari mkongwe nchini ambaye alikuwa  akifanya     kazi na Shirika la Habari la Uingereza (BBC), John Ngahyoma  amefariki dunia     leo asubuhi. |  | 
 
   | 
     | Msiba  uko     nyumbani kwa marehemu Tabata, karibu na nyumbani kwa Marehemu  Danny     Mwakiteleko. Mwenye taarifa zaidi atufahamishe. |  | 
 
   | 
     | Tunaitakia  moyo     wa subira na Mungu awafariji wanafamilia wa Ngahyoma katika  kipindi     hiki cha majonzi ya kuondokewa na mpendwa wao. |  | 
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN
 
No comments:
Post a Comment