Msanii AT kutoka ZANZIBAR amesema ameshtushwa SANA na kauli ya banda la SANAA la ZNZ kwamba YEYE sio RAIA wa ZNZ.
 
stori
 kutoka Zanzibar zinaamplfy kwamba, kuanzia sasa kwa  sababu msanii huyu
 maarufu kwa nyimbo za MDUARA anaishiTanzania BARA,  itabidi awe 
analipia anapokwenda kufanya showz ZNZ.
 
AT
 amesema “mimi ni mzaliwa wa ZNZ, nimezaliwa sehemu inaitwa  MWEMBELADU 
na watu wote wananifaham, sasa isiwe jazba za matu mmoja  zinaniharibia,
 WAMENIDHALILISHA manake kumvua mtu uraia ni KOSA KUBWA  sana, ni 
sijawasamehe kabisa wanaione MAKUSUDI, wakati wao hata sio  UHAMIAJI”
 
ameongeza
 kwamba, “naomba nirejeshe vitambulisho vyote,  naomba niwape karatasi 
za kuzaliwa, mtizame alaafu mnitafutie nchi yangu  mnipeleke ndani ya 
saa 24″ – AT
 
hii
 ishu imetokea siku moja tu baada ya AT EXCLUSIVE  kwamba video
 yake ya bao la kete imefungiwa kuchezwa katika TV visiwani  humo 
kutokana na kutokua na maadili.
 
 
No comments:
Post a Comment