Hali
 ni mbaya katika barabara ya Morogoro eneo la Jangwani ambapo kwa muda 
mrefu watu wamekuwa wakiishi hapo, japokuwa serikali imekuwa ikiwaambia 
hawatakiwa mkujenga katika eneo hilo kutokana na madhara yanayoweza 
kutokea endapo mvua zitanyesha,Lakini hali ndivyo  ilivyo kwa sasa.
 Akina
 mama hawa wakilia baada ya kuokolewa kwenye maji hapa walikuwa 
wakielekea kupanda gari tayari kwa kuwapeleka hospitali ya muhimbili kwa
 uangalizi zaidi wa afya zao.
Akina
 mama hawa wakilia baada ya kuokolewa kwenye maji hapa walikuwa 
wakielekea kupanda gari tayari kwa kuwapeleka hospitali ya muhimbili kwa
 uangalizi zaidi wa afya zao.  Ni  watu wakiokooa vitu vyao na kuviweka kando ya barabara ya Morogoro.
Ni  watu wakiokooa vitu vyao na kuviweka kando ya barabara ya Morogoro.
 Baadhi ya nyumba zikiwa zimezingirwa kabisa na maji katika eneo la Jangwani.
Baadhi ya nyumba zikiwa zimezingirwa kabisa na maji katika eneo la Jangwani.ARIZONA MUSE AWA VOGUE TOP MODEL 2011
She's a model, mommy and her momentum of the year has earned her the crown as Vogue's Top Model of 2011.
 
 




No comments:
Post a Comment