Sources intimately familiar with the situation tell us ... the $150 mil accounts for real estate holdings, stock, cash and other assets.
The figure is far less than news reports which set Kobe's fortune north of $400 million. But the $150 mil figure is the accurate one.
RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI, AKABIDHI NISHANI YA DR WILBERT CHAGULA KAMPALA LEO
 Rais
 Jakaya Kikwete akiwa na mazungumzo na Makamu wa Rais Dr Mohamed  Ghalib
 Bilal na Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda mara baada ya kurejea  jijjini 
Dar es salaam kutoka Kampala, Uganda, alikohudhuria mkutano wa  siku 
mbili wa wakuu wa nchi za maziwa makuu

 Rais Jakaya Kikwete akiagwa na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uganda, 
 Mh Nsavike G.  Ndatta katika uwanja wa ndege wa Entebbe leo Desemba 17,
  2011 asubuhi wakati akiondoka Uganda kurejea nyumbani baada ya  
kuhudhuria mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za maziwa makuu

 Rais Jakaya Kikwete akiwakabidhi Bw. Clement A. Chagula na bintiye  
Olivia A. Chagula medali kwa niaba ya baba na babu yao Marehemu Dkt.  
Wilbert Chagula, ambaye aikuwa ni mmoja wa mawaziri katika serikali ya  
awamu ya kwanza na mmoja wa  watu maarufu waliotunukiwa nishani katika  
kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru.
 Rais Jakaya Kikwete akiwakabidhi Bw. Clement A. Chagula na bintiye  
Olivia A. Chagula medali kwa niaba ya baba na babu yao Marehemu Dkt.  
Wilbert Chagula, ambaye aikuwa ni mmoja wa mawaziri katika serikali ya  
awamu ya kwanza na mmoja wa  watu maarufu waliotunukiwa nishani katika  
kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru.BODABODA TIGO RUSHA YAZINDULIWA LEO
RAPPER SLIM DUNKIN AUWAWA KWA RISASI
The Waka Flocka affiliate, whose real name is Mario Hamilton, was 
taken to Grady Memorial Hospital where he was pronounced dead, according
 to his attorney.
According to the Associated Press:
 
No comments:
Post a Comment