Justin Bieber was smothered by his smokin' hot adult 
girlfriend Selena Gomez in Mexico yesterday ... and was so impressed by 
her incredible physique ... he snapped a few pics to capture the moment.
 
The couple is south of the border for a friend's wedding ... but yesterday, they spent the day taking in some sun at the hotel pool ... because, why not?
The couple is south of the border for a friend's wedding ... but yesterday, they spent the day taking in some sun at the hotel pool ... because, why not?
BALOZI WA MAREKANI NA BALOZI WA ULAYA WAMTEMBELEA RAIS JAKAYA IKULU DAR ES SALAAM LEO
Rais
 Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Ulaya nchini aliyemaliza muda   
wake Bw Tim Clarke aliyekwenda kumuaga leo Ikulu jijini Dar es salaam. 
Rais Jakaya Kikwete akizungumza  na Balozi wa Ulaya nchini aliyemaliza muda  wake Bw. Tim Clarke  wakati alipokwenda kumuaga Ikulu leo. 
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Balozi wa Marekani nchini aliyemtembelea kwa mazungumzo leo Alhamisi Desemba 8, 2011.
UGANDA YAINYUKA KILIMANJARO STARS MAGOLI 3-1
 Katika
 kipindi cha nyongeza  Uganda wameshinda  magoli 3-1 na kupata ushindi  
dhidi ya Kilimanjaro Stars  waliokuwa nyumbani kwenye uwanja wa Taifa 
jijini Dar es salaam katika  michuano ya kombe la TUSKER 
CECAFA CHALLENGE CUP 2011 iliyofanyika leo ikiwa ni hatua  ya nusu 
fainali.
  Kwa matokeo hayo Uganda itakutana na Rwanda ambayo tayari imeshakata 
tiketi yake baada ya  kuifunga Sudan magoli 2-1 siku ya Jumamosi .
Kama unavyoona hapa   makocha wa timu ya Uganda walikuwa wakiwapasha 
misulia wachezaji wao kabla ya kuanza kipindi cha dakika 30 za nyongeza.

Mapigano makali yatokea Mogadishu
Mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, 
umekumbwa na moja ya mapigano makali kutokea katika miezi kadhaa, kwa 
kile kinachoonekana kuwa ni kikwazo kikubwa kwa serikali.
                     
Mapigano hayo yalianza baada ya alfajiri kati ya
 wapiganaji wa al-Shabab na vikosi vya serikali vikisaidiwa na vikosi 
vya kulinda amani vya Umoja wa Afrika AU.
                     
Vikosi vya AU vinaarifiwa kutumia vifaru na silaha nzito.
                     
Al-Shabab waliondoka Mogadishu mwezi Agosti na serikali ikatangaza kuwa inaudhibiti mji huo.
                     
Mapigano yametokea katika wilaya za kaskazini za Karan na Huriwa siku ya Alhamis.
                     
Kuna taarifa za majeruhi lakini taarifa za kina hazijapatikana bado.
                     
Inafuatia shambulio la al-Shabab Jumatano kwenye
 kambi ya kijeshi inayoendeshwa na vikosi vya AU katika mji wa Wadajir 
kusini mwa Mogadishu.
 
No comments:
Post a Comment