Hii inahusu mafuta ya Petrol kuadimika kiasi cha watu kusimamisha shughuli za maendeleo na kusaka nishati hiyo ambayo imekuwa lulu mkoani kagera.
Hii  ni hali halisi juu yasakata la mafuta mjini hapa mda huu ni kituo  kimoja tu  kinacho endelea kutoa huduma hii ni New Ama filling Station  kilichopo machinjio ya zamani barabara ya Kashozi
Foleni ya magari mda huu kuelekea kituo cha mafuta.
 
 
No comments:
Post a Comment