 Rais  Jakaya Kikwete, akimuapisha rasmi,  Balozi Ombeni Yohana Sefue, kuwa  Katibu Mkuu Kiongozi badala ya Katibu  Mkuu Kiongozi Mstaafu, Phillemon  Luhanjo, aliyemaliza muda wake. Hafla  hiyo ya kumuapisha Balozi Sefue,  imefanyika leo Ikulu Dar es Salaam. Wa  pili (kushoto) kwa Rais ni  Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Phllemon  Luhanjo, akisimamia zoezi hilo.

No comments:
Post a Comment