
Mkazi  wa  Jangwani bondeni, Dar es Salaam, Mohamed Zuberi akilalamika mbele  ya wanahabari  jana, kuhusu utaratibu unaotumiwa na maofisa wa Manispaa  ya Ilala kuhakiki  nyumba zao zitakazobomolewa kufuatia amri ya  Serikali.
 Mkazi  wa  Jangwani, Dotto Ngoyeji akieleza malalamiko yake mbele ya wanan  habari, kwamba  Serikali inatakiwa kuata utaraibu kuwatendea haki katika  mchakato huo wa  kuhakiki nyumba zao.
 Mmoja wa  maofisa wa kutoka Manispaa ya Ilala, akiweka alama katika moja ya nyumba eneo la  Jangwani.
 
 
Mama   mkazi wa Jangwani, Dar es Salaam eneo lililokumbwa na mafuriko hivi  karibuni,  akiwa na huzuni baada ya nyumba yake kuwekwa alama ya  kubomolewa na wakati wa  mchakato wa kuhakiki nyumba hizo uliokuwa  unafanywa na Maofisa wa Manispaa ya  Ilala
 
 
No comments:
Post a Comment