Gari aina ya Forester ikiwa imeama barabara na kugonga mlango wa Nyumba 
kana kwamba ndio imefika inapo takiwa kufika,tukio hili limetokea 
majira ya saa 5 usiku.
Mzee Ali  pichani Baba wa familia katika nyumba hii akinionyesha hali ya vitu vilivyo alibika.Nyumba hii ipo kati ya makutano ya barabara ya Kashozi na barabara ya Arusha,maarufu kama maeneo ya kengere tatu mjini bukoba.
 
 
No comments:
Post a Comment