 Hassan
 Yahya Mwinyi  Katibu Mkuu wa kundi la Taarab la Safari Malindi kulia 
akimpongeza Khamis Koha  Mkurugenzi Msaidizi wa kundi la Muziki wa 
Taarab la Jahazi, baada ya kuzindua  rasmi albam yao mpya ijulikanayo 
kama Mpenzi Chocolate na sherehe za miaka 5 ya  kundi hilo zilizofanyika
 mkesha wa Krismasi usiku wa kuamkia leo, kwenye ukumbi  wa Diamond 
Jubilee ikishuhudiwa na mashabiki lukuki wa muziki wa Taarab huku  
mtandao wako wa FULLSHANGWE ukiwa ni mmoja wa mashuhuda. Uzinduzi
 huo ulioambatana na Jahazi Molden Taarab  kutimiza miaka 5 ilidhaminiwa
 na kinywaji cha Serengeti Lager kinachozaliswa na  kampuni ya bia ya 
Serengeti (SBL)

Serengeti (SBL) Pages
BRAND NEW MUSIC
metty magese
 
Listen & Download
http://mdundo.com/a/32626
Sunday, December 25, 2011
JAHAZI MOLDEN TAARAB YATIMIZA MIAKA 5 NA KUZINDUA ALBAM YAKE YA MPENZI CHOCOLATE
 Hassan
 Yahya Mwinyi  Katibu Mkuu wa kundi la Taarab la Safari Malindi kulia 
akimpongeza Khamis Koha  Mkurugenzi Msaidizi wa kundi la Muziki wa 
Taarab la Jahazi, baada ya kuzindua  rasmi albam yao mpya ijulikanayo 
kama Mpenzi Chocolate na sherehe za miaka 5 ya  kundi hilo zilizofanyika
 mkesha wa Krismasi usiku wa kuamkia leo, kwenye ukumbi  wa Diamond 
Jubilee ikishuhudiwa na mashabiki lukuki wa muziki wa Taarab huku  
mtandao wako wa FULLSHANGWE ukiwa ni mmoja wa mashuhuda. Uzinduzi
 huo ulioambatana na Jahazi Molden Taarab  kutimiza miaka 5 ilidhaminiwa
 na kinywaji cha Serengeti Lager kinachozaliswa na  kampuni ya bia ya 
Serengeti (SBL)
Hassan
 Yahya Mwinyi  Katibu Mkuu wa kundi la Taarab la Safari Malindi kulia 
akimpongeza Khamis Koha  Mkurugenzi Msaidizi wa kundi la Muziki wa 
Taarab la Jahazi, baada ya kuzindua  rasmi albam yao mpya ijulikanayo 
kama Mpenzi Chocolate na sherehe za miaka 5 ya  kundi hilo zilizofanyika
 mkesha wa Krismasi usiku wa kuamkia leo, kwenye ukumbi  wa Diamond 
Jubilee ikishuhudiwa na mashabiki lukuki wa muziki wa Taarab huku  
mtandao wako wa FULLSHANGWE ukiwa ni mmoja wa mashuhuda. Uzinduzi
 huo ulioambatana na Jahazi Molden Taarab  kutimiza miaka 5 ilidhaminiwa
 na kinywaji cha Serengeti Lager kinachozaliswa na  kampuni ya bia ya 
Serengeti (SBL) 
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
 
No comments:
Post a Comment