
 Rais
 Jakaya Kikwete, akimwapisha, Phillip  Marmo, kuwa Balozi wa China, 
wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wapya iliyofanyika mchana 
huu, Ikulu Dar es Salaam. Marmo awali alikuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi 
ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge.

 Mabalozi wapya waliofia Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete, wakisubiri kuapishwa.

 Rais
 Jakaya Kikwete, akimwapisha, Dkt. Batilda Buriani,  kuwa Balozi wa 
Kenya, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wapya iliyofanyika 
mchana huu, Ikulu Dar es Salaam. Batilda awali alikuwa ni Waziri wa 
Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira). 

 Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha, Dkt. Deodorus Kamala,
 kuwa Balozi wa Ubelgiji, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi 
wapya iliyofanyika mchana huu, Ikulu Dar es Salaam. Kamala, awali 
alikuwa ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

 Rais
 Jakaya Kikwete, akimwapisha, Ally A. Saleh, kuwa Balozi wa Oman, wakati
 wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wapya iliyofanyika mchana huu, 
Ikulu Dar es Salaam. Saleh, awali alikuwa ni Balozi Mdogo wa Dubai.

 Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha, Shamim Nyanduga, kuwa Balozi wa Msumbiji, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi
 wapya iliyofanyika leo mchana huu, Ikulu Dar es Salaam. Nyanduga awali 
alikuwa ni Naibu Mkuu wa Itifaki, Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano 
wa Kimataifa.

 Samim Nyanduga, akipongezwa na Mumewe, baada ya kuapishwa
 rasmi kuwa Balozi wa Msumbiji, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu 
Dar es Salaam leo. Nyuma yao ni wanafamilia wa Familia hiyo.
BONDIA MAUGO AMKALISHA SELEMANI SAID
 Bondia
 Mada Maugo (kulia) akipambana na Selemani Said, wakati wa mpambano wao 
uliofanyika mzalendo pub jana Maugo alishinda KO raundi ya tatu
Bondia
 Mada Maugo (kulia) akipambana na Selemani Said, wakati wa mpambano wao 
uliofanyika mzalendo pub jana Maugo alishinda KO raundi ya tatu
 
 
No comments:
Post a Comment