 Mkurugenzi  wa Fedha TRA, Saleh B. Mashoro akitoa maelezo juu ya mpango  wa mamlaka  hiyo wa kukusanya Ongezeko la Thamani kwa wageni watakaosafirisha   bidhaa za ndani kupeleka nje ya nchi
Mkurugenzi  wa Fedha TRA, Saleh B. Mashoro akitoa maelezo juu ya mpango  wa mamlaka  hiyo wa kukusanya Ongezeko la Thamani kwa wageni watakaosafirisha   bidhaa za ndani kupeleka nje ya nchi  Naibu  Kamishna wa Kodi za Ndani, Christine Shekidele (kulia),  akifafanua  jambo kwa  waandishi wa habari kususiana na Ongezeko la  Thamani (VAT)  na faida zake kwa Taifa
Naibu  Kamishna wa Kodi za Ndani, Christine Shekidele (kulia),  akifafanua  jambo kwa  waandishi wa habari kususiana na Ongezeko la  Thamani (VAT)  na faida zake kwa Taifa       Mamlaka   ya Mapato Tanzania (TRA), kuanzia tarehe 1, Januari 2012 inaanza rasmi   kushughulikia marejesho ya kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)  kwa wasafiri wakigeni wanaondoka kwenda nchi za nje  kwa mujibu wa sheria ya kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT).
Akizungumza   na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Fedha   TRA, Saleh B. Mashoro, alisema utaratibu huu wa kukusanya VAT umekuwa   ukitumika na nchi mbalimbali duniani kutokana na ukweli kuwa VAT ni kodi   inayotokana na matumizi. 
 
 
No comments:
Post a Comment