DKT.KIKWETE AKIWA NA DR. MIGIRO NA BALOZI MULAMULA KAMPALA
 Rais
 Jakaya Kikwete akimpongenza Balozi Liberata Mulamula kwa kazi nzuri  
aliyoifanya katika sekreteriati ya Maziwa Makuu kwa miaka mitano.  
Pembeni ni Dr Asha-Rose Migiro Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.
Rais Kikwete na Dr Migiro na Balozi Mulamula leo  leo December 15, 2011 
katika hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongoji  cha Munyonyo nje 
kidogo ya jiji la
Kampala kunakofanyika mkutano wa wakuu wa  nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) 
ambapo Balozi Mulamula ndiyo amemaliza  rasmi muda wake wa kufanya
kazi kama Katibu Mtendaji wa (ICGLR) na kumuachia kiti   Prof. Lumu 
Alphonse Ntumba Luaba (59)  wa DRC.

No comments:
Post a Comment